Mimi Mhenga nataka kurudi SHULE

Ujinga mtupu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2017
Posts
887
Reaction score
2,022
Wakuu...

Baada ya kumuona ndugu yangu erick shigongo anarudi shule(chuo)

Sasa nimejihakikishia kutoka moyoni mwaka huu...Naanza kusoma QT nikimaliza naingia degree tena ya science nataka niwe daktari...

Nina miaka 60....nina mke na watoto 8 wajukuu 10...

Ushauri wakuu..
 
Siku zote vichaaa wanaanzaga ivii ...
...badae wanaanza kuokota makopo...
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…