Fungarakwaki
JF-Expert Member
- Mar 12, 2023
- 1,907
- 4,720
Kuna jambo Moja umelisahau kwenye cv yako, hujaweka jinsia yakoAGE: 25
TRIBE: Zigua
RELIGION: Muslim
M. STATUS: Single
EDUCATION: Bachelor Degree (MZUMBE UNIVERSITY)
PROFESSION: Human Resource Management
LOCATION: Yombo DSM
EMPLOYMENT STATUS: Unemployed
NB: Tushirikiane kupeana michongo wanajamvi, mtaani pagumu.
Noted mkuu! shukran.Kuna jambo Moja umelisahau kwenye cv yako, hujaweka jinsia yako
AGE: 25
TRIBE: Zigua
RELIGION: Muslim
M. STATUS: Single
EDUCATION: Bachelor Degree (MZUMBE UNIVERSITY)
PROFESSION: Human Resource Management
LOCATION: Yombo DSM
EMPLOYMENT STATUS: Unemployed
NB: Tushirikiane kupeana michongo wanajamvi, mtaani pagumu.
hahahahaha eti wanderer...Watu na Cv zenu
wengine tunaishiaga kwenye Marital Status [emoji23] kulikobaki ni jobless, Wanderer, Thief , Gambler
Na betier.....Watu na Cv zenu
wengine tunaishiaga kwenye Marital Status [emoji23] kulikobaki ni jobless, Wanderer, Thief , Gambler
Jinsia? Unatafuta mchumba mwenye sifa zipi?AGE: 25
SEX: MALE
TRIBE: Zigua
RELIGION: Muslim
M. STATUS: Single
EDUCATION: Bachelor Degree (MZUMBE)
PROFESSION: Human Resource Management
LOC: Yombo DSM
EMP. STATUS: Unemployed
NB: Tushirikiane kupeana michongo wanajamvi, mtaani
Kiukweli hakuna nilichodanganya hapo, shukran kwa kunikaribisha mkuuUkiwa muongo muongo kuna siku huu uzi utakuumbua
All in all karibu jf
Picha hadharani? , sio kweli mkuu. NimekaribiaKaribu,tupia hata kapicha basi tuonane
Jinsia: MeJinsia? Unatafuta mchumba mwenye sifa zipi?
Michongo hapa JF na fake ID.AGE: 25
SEX: MALE
TRIBE: Zigua
RELIGION: Muslim
M. STATUS: Single
EDUCATION: Bachelor Degree (MZUMBE)
PROFESSION: Human Resource Management
LOC: Yombo DSM
EMP. STATUS: Unemployed
NB: Tushirikiane kupeana michongo wanajamvi, mtaani
Fake ID?, what do you mean mkuu.Michongo hapa JF na fake ID.
Karibu sana lakini.
Kumbe nia ni kupata mchumba.Jinsia: Me
Mchumba: Awe mzuri, age kuanzia 24 abv, mcha mungu.
hahahaha