kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,176
Mshangazi dot com na Mimi mgeni.Karibu Jamvini
HabariMuonyesheni chumba cha wageni.Tukupokee ili...?
Karibu sana jamvini mgeni wetu.Mshangazi dot com na Mimi mgeni.
cocochanel unamjua nini huyu aliyeamua kuja na ID mpya???
Madam sijawahigi kuelewa mwandiko wakoMwenzako huyo ki ID
Kwa nunitagi.. Ulitaka niandike.. Na siku andika makusudi.. Wenye D2 wameshajua kinachoendelea 🤣🤣🤣
Karibu sana , mie ndiye kijumbe wa humu pesa yote ya chai hupitia kwangu, hujachelewa karibu sanaHabari za wakati huu wana JF, natumai mu wazima wa Afya. Mimi ni mgeni humu nimejiunga mwaka huu. Kuna vitu vingi nilikuwa sivijui nashukuru kwasasa kiasi naelewa.
Napenda kushukuru kwa uongozi wote wa JF pamoja na members wote kwa ujumla kwani kila siku navyopitia baadhi ya thread za watu nazidi kujifunza mambo mengi. Asanteni tuendelee kuwa pamoja.
Andika yangu JFMadam sijawahigi kuelewa mwandiko wako
Hapo sanaAndika yangu JF