Sheria za humu utazijua mwenyewe utake usitake, hakuna atakaekwambia sheria fulani iko vipi
utakachoposti au kukomenti utaona muitikio wake kwa wanajamii wa humu, wakikusifia sawa ila wakiamua kukuponda utatamani ufunge akaunti urudi Insta.
Kuhusu utaifa hilo halina maana yoyote humu maadamu utakutana na watanzania wengi sana, si unajua wabongo hawanaga masuala ya "sisi watanzania wao ni wakenya".
Humu wote ni ndugu. Hata hivyo mimi ni m'bantu, MZILANKENDE.