Ahaaaa...hapo sawa, maana jina lako lilonipelekea kuamini wewe ni team mboji.Wasiwasi wako tu !! Mi sing'oi nanga bana natumia bahar tu
Kwetu ni kwetu usinfikirie vibaya mkuuLabda tuanze na lako la K NI K...... kamanda nae n K?
You have unique name Sir!Nimesikia umeniita mkuu