Mimi dereva natafuta kazi katika mkoa wowote

Mimi dereva natafuta kazi katika mkoa wowote

mwakyindi

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2018
Posts
1,627
Reaction score
2,216
Mimi ni kijana nina miaka 23 nipo Mbeya. Nilikua dereva wa gari la kusambaza mikate bahati mbaya bosi mwenye gari kafulia gari kauza na mimi kibarua kimeota nyasi.

Naombeni msaada wakuu kwa anayeweza nipa kazi yoyote sehemu yoyote, mkoa wowote nipo.
 
Hii fani siku hizi naona haina mpya tena,,, ratio ya madereva walioajiriwA naona naambao hawajaajiriwa hazilingani kabisa,,,, mimi mwenyewe ni victim kama wewe
 
Back
Top Bottom