Mimi chenye nataka niwe na watoto basi

Chadema 2030

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,920
Reaction score
3,753
Haya mambo ya kale eti ntaishi nawe mpaka kifo hamna,siewez na haya mahusiano ya siku hizi n magumu.mm nnatafuta mwanamke nimpg mimba, akinializia tuh hivi,mtoto akikuwa na mwanamke huyo namtema.nachukua mtoto huyo namlea.Natafut wa pili kwa njia hiyohiyo.
 
Kataa ndoa okoa uchumi wako๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜‚ picha ina tafakuri kubwa sana
 
Mawazo hayo ukiulizwa una utajiri wa sh ngapi....blabla zinakua nyingi mara kuna 1m bank
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ