we mwenyewe hujui kuandika eti (ujui)Ukoroni
La saba B
Tuishie hapo
Kama kuandika tu ujui hatuwezi bishana na wewe tushajua wewe ni nani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaeleweka bado! Hoja yako hasa nini? Kumuenzi mtu si kwa yooote aliyofanya maana hakuna ashiundaye vyooote! Anaenziwa kwa yale yaliyoleta kishindo maishani mwa Watz. na wewe unayafahamu fika.Habari wadau.
Najua nitawaudhi wengi ila naomba tu Uhuru wa maoni uzingatiwe.Mwalimu Nyerere kitu kikubwa alichofanya ni kupigania Uhuru hapa namshukuru sana.
Baada ya Uhuru Nyerere akaturudisha kwenye ukoloni mpya mpaka leo hatujawahi kujitawala na bado mapambano ya kupata Uhuru yanaendelea.
Ndo maana utasikia Nyerere alijenga viwanda, viwanja vya mpira au utasikia Raisi Samia atoa billion 5 kufanya kitu fulani unajiuliza Samia ametoa wapi fedha.
Kwa hiyo wananchii hatuna sauti kwenye nchi yetu alafu unataka tumuenzi MWALIMU kwa kazi gani kwa sababu ata wakoloni walijenga miundombinu kibao Lakini tulitaka waondoke.
Kwa hiyo ata mabomba ya maji yakitoa maziwa huwezi kumsifu kiongozi iwapo anatawala yeye mwenyewe Sio kwa matakwa ya wananchii au misingi ya kidemokrasia atakuwa anapaka rangi upepo na historia haiwezi kumkumbuka.
ashiundaye ndio nini?Hujaeleweka bado! Hoja yako hasa nini? Kumuenzi mtu si kwa yooote aliyofanya maana hakuna ashiundaye vyooote! Anaenziwa kwa yale yaliyoleta kishindo maishani mwa Watz. na wewe unayafahamu fika.
Hivi wakoloni wangeendelea kuwepo nini kibaya kingetokea?Mtu umeishia la saba utajuaje umuhimu wa Baba wa taifa mwalimu Nyerere
Hakuna ashindaye vyoote.........ashiundaye ndio nini?
Safi sana mkuu. Be blessed.kitu kikubwa sana ni kuipenda Tanzania yako. .
Classmate nakuonaDuh acha ujinga Lal Kama huna Cha kuandika
Jamaa yangu weye ni "mkoroni" sana.Ishi upendavyo,Asikusumbue "mutu hohote"!ππππHabari wadau.
Najua nitawaudhi wengi ila naomba tu Uhuru wa maoni uzingatiwe.Mwalimu Nyerere kitu kikubwa alichofanya ni kupigania Uhuru hapa namshukuru sana.
Baada ya Uhuru Nyerere akaturudisha kwenye ukoloni mpya mpaka leo hatujawahi kujitawala na bado mapambano ya kupata Uhuru yanaendelea.
Ndo maana utasikia Nyerere alijenga viwanda, viwanja vya mpira au utasikia Raisi Samia atoa billion 5 kufanya kitu fulani unajiuliza Samia ametoa wapi fedha.
Kwa hiyo wananchii hatuna sauti kwenye nchi yetu alafu unataka tumuenzi MWALIMU kwa kazi gani kwa sababu ata wakoloni walijenga miundombinu kibao Lakini tulitaka waondoke.
Kwa hiyo ata mabomba ya maji yakitoa maziwa huwezi kumsifu kiongozi iwapo anatawala yeye mwenyewe Sio kwa matakwa ya wananchii au misingi ya kidemokrasia atakuwa anapaka rangi upepo na historia haiwezi kumkumbuka.
Tulifanya makosa makubwa sana kuwafukuza wazungu ndugu yangu. Angalia South Africa walivyonufaika na uwepo wa wale wadachi mpaka sasa. Tulichopaswa kupigania ni usawa tu na sio kuwafukuza na kuanza kujiongoza ilhali nafsi zetu zimejawa na nepotism, uchoyo na ubinafsi.Hivi wakoloni wangeendelea kuwepo nini kibaya kingetokea?
Tena kuna uwezekano tungekuwa mbali sana
Wazungu sio watu wa kupingana nao bali "tuishi nao kwa akili"Ninyi ndio vibaraka wa mabeberu mnaoabudu wazangu, wahindi na waarabu.