N NOKIALUMIA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 397 Reaction score 280 Sep 4, 2019 #1 Wengi wao asili yao sio wa tz wamekuja kutuharibia tu. Nchi hii lazima tuwe makini MBWA wanaongoza kwa kuwinda ni wahapa hapa mimbwa ya kizungu kazi kukaa ndani tu. Inakera saana hii mi MBWA
Wengi wao asili yao sio wa tz wamekuja kutuharibia tu. Nchi hii lazima tuwe makini MBWA wanaongoza kwa kuwinda ni wahapa hapa mimbwa ya kizungu kazi kukaa ndani tu. Inakera saana hii mi MBWA
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,307 Reaction score 40,942 Sep 4, 2019 #2 Msomali hataki kuambiwa ukweli
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,965 Reaction score 13,944 Sep 4, 2019 #3 Ndumbula Ndema said: Msomali hataki kuambiwa ukweli Click to expand... Jamaa anapendelea sana Mnyama na kutuharibia timu ya taifa.
Ndumbula Ndema said: Msomali hataki kuambiwa ukweli Click to expand... Jamaa anapendelea sana Mnyama na kutuharibia timu ya taifa.
Chukwu emeka JF-Expert Member Joined Jan 12, 2018 Posts 25,307 Reaction score 40,942 Sep 4, 2019 #4 Ulimakafu said: Jamaa anapendelea sana Mnyama na kutuharibia timu ya taifa. Click to expand... Atakwama tu
Ulimakafu said: Jamaa anapendelea sana Mnyama na kutuharibia timu ya taifa. Click to expand... Atakwama tu
Mgagaa na Upwa JF-Expert Member Joined Sep 30, 2013 Posts 16,348 Reaction score 35,910 Sep 4, 2019 #5 Rais msomali,katibu mburundi!
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,965 Reaction score 13,944 Sep 4, 2019 #6 Mgagaa na Upwa said: Rais msomali,katibu mburundi! Click to expand... Na kocha wa timu ya taifa ni mrundi, timu inacheza na warundi leo.
Mgagaa na Upwa said: Rais msomali,katibu mburundi! Click to expand... Na kocha wa timu ya taifa ni mrundi, timu inacheza na warundi leo.
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 12,209 Reaction score 16,664 Sep 4, 2019 #7 Embu acha kumdhalilisha Mbwa mpe heshima yake, Huyo Wallace Karia na wenzake ungewataja kwani shida nini?
Embu acha kumdhalilisha Mbwa mpe heshima yake, Huyo Wallace Karia na wenzake ungewataja kwani shida nini?
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,367 Reaction score 55,055 Sep 4, 2019 #8 Sasa kama mimbwa inaweza kukuongoza wewe mwenye akili timamu nani ana tatizo hapo kati yako wewe na mimbwa.
Sasa kama mimbwa inaweza kukuongoza wewe mwenye akili timamu nani ana tatizo hapo kati yako wewe na mimbwa.
N NOKIALUMIA JF-Expert Member Joined Jul 12, 2015 Posts 397 Reaction score 280 Sep 4, 2019 Thread starter #9 Khaligraph Jordan said: Embu acha kumdhalilisha Mbwa mpe heshima yake, Huyo Wallace Karia na wenzake ungewataja kwani shida nini? Click to expand... Wewe ndo umewataja hakuna sehemu. Yoyote niliyemtaja mtu.. Hapo namaanisha MBWA mwenye miguu mnne
Khaligraph Jordan said: Embu acha kumdhalilisha Mbwa mpe heshima yake, Huyo Wallace Karia na wenzake ungewataja kwani shida nini? Click to expand... Wewe ndo umewataja hakuna sehemu. Yoyote niliyemtaja mtu.. Hapo namaanisha MBWA mwenye miguu mnne
Nakfa JF-Expert Member Joined Oct 1, 2017 Posts 12,209 Reaction score 16,664 Sep 4, 2019 #10 NOKIALUMIA said: Wewe ndo umewataja hakuna sehemu. Yoyote niliyemtaja mtu.. Hapo namaanisha MBWA mwenye miguu mnne Click to expand... Mtake radhi sasa maana unaonyesha dharau kwa mnayama naempenda kuliko wote
NOKIALUMIA said: Wewe ndo umewataja hakuna sehemu. Yoyote niliyemtaja mtu.. Hapo namaanisha MBWA mwenye miguu mnne Click to expand... Mtake radhi sasa maana unaonyesha dharau kwa mnayama naempenda kuliko wote