Mimba

nani anaujua huu mchezo aisee? naupenda sana! (stupid thread)

 
Bao la pili kama walivyopigwa yanga siku ileee!!!
 
hATA NUSU BAO LINATIA MIMBA ILI MRADI TU MWANAMKE AWE KATIKA TAREHE ZA MIMBA
 
mkuu ukijiunga na jf kuanzisha thread sio lazima. unaweza kuwa mchangiaji tu wa thread za wengine.....wala hakuna atakayekuuliza kwanini huanzishi thread!!

Ndo mana nakupenda shem wangu waukweli
 
Nikisikia kuna Division Six (VI) sitoshangaa kabisa
 
Kuna lile goli la netball ukiweza kufunga jua mimba tayari.
 
Viroba hivo ndo maana vilipigwa marufuku
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…