Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,157
- 2,663
Naomba kujua dalili za mimba zenye mapacha zinakuwaje kuwaje, hata ukiweza kutoa uzoefu wako hapa itapendeza sana kwa faida ya wengine.
asanteni na karibuni
asanteni na karibuni
Sijakuelewa mkuu, waweza kunielewesha huo msemo wakoKunakuwa na minong'ono ya hapa na pale usielewe kma ni watu wanaokuzunguka au vp
Shukrani mkuu!!Dalili za mimba ni zile zile. Ila kuanzia miezi minne unaweza kuanza kuona tofauti. Tumbo linakuwa kwa Kasi Sana. Na pia miezi Sita tumbo linakuwa kama na limejikawa katikati.
Kunakuwa na minong'ono ya hapa na pale usielewe kma ni watu wanaokuzunguka au vp
kwamba wanapiga soga?Yesu wangu. Hongera mkuu.Ikifika kianzia miezi mitano utaanza kuona tumbo kama limejigawa kati pia unaweza sikia mtoto anacheza pande mbili sasa mimi nilizaa wanne nilikua nasikia wanacheza kila kona pia tumbo lilikua zito unachoka sana
Hongera na pole sana...wamekua wote?Ikifika kianzia miezi mitano utaanza kuona tumbo kama limejigawa kati pia unaweza sikia mtoto anacheza pande mbili sasa mimi nilizaa wanne nilikua nasikia wanacheza kila kona pia tumbo lilikua zito unachoka sana
Ikifika kianzia miezi mitano utaanza kuona tumbo kama limejigawa kati pia unaweza sikia mtoto anacheza pande mbili sasa mimi nilizaa wanne nilikua nasikia wanacheza kila kona pia tumbo lilikua zito unachoka sana
Ikifika kianzia miezi mitano utaanza kuona tumbo kama limejigawa kati pia unaweza sikia mtoto anacheza pande mbili sasa mimi nilizaa wanne nilikua nasikia wanacheza kila kona pia tumbo lilikua zito unachoka sana
Nadhani hili tukio ndilo limezaa jina la hii ID yakoIkifika kianzia miezi mitano utaanza kuona tumbo kama limejigawa kati pia unaweza sikia mtoto anacheza pande mbili sasa mimi nilizaa wanne nilikua nasikia wanacheza kila kona pia tumbo lilikua zito unachoka sana
Hayo maumivu mimba ikiwa na umri gani?Inategemeana mara nyingi tumbo hubebewa mbavuni na mwanamke husikia maumivu sana kiasi hata mapenzi hatamani hasa ikiwa ni mimba ya kwanza mapacha wafananao.Tumbo kuwa kubwa beyond normal.