Dada Mmoja alipata Mimba ikawa na Mapacha ndani... Sasa Mwanaume alivyokuwa kazini yule dada akaenda kinyume na sheria akamleta mwanaume mwengine ndani ya nyumba na mambo yakawa kama hivi ndani ya tumbo...
TUMBO KUANZA KUTINGISHIKA NDANI DOTTO AKAMWAMBIA KULWA DUH LEO NAONA BABA KARUDI MAPEMA MCHANA MCHANA.. KULWA AKAJIBU DAH HUYU SIO BABA MDINGI YEYE HAVAI KOTI LA MVUA AKIMAANISHA CONDOM!.