Kiufupi huyo mwenzio siyo muaminifu ana mtu nje.
Ni vigumu sana mimba kuingia siku hiyo hiyo na dalili zikaonekana hata km ukienda kupima vipimo haviwezi kuonesha.
Ni sawa na ww utembee na mtu mwenye ukimwi halafu siku hiyo hiyo uende ukapime. Huwezi kupata jibu km umeathirika hata km uende kwa dr. Bingwa gani hawezi kukupa jibu zaid ya kukuambia uje baada ya muda fulani.
Dalili za mimba huanza kuoneka wiki 3 baada ya kushika ujauzito, lkn kwa siku hiyo hiyo.
Mkuu hapo umeuziwa mbuzi kwenye gunia. Hiyo mimba siyo yako 100% km utaamua kulea basi unalea mimba ya mwanaume mwenzako