Mimba imeingia majuzi, nifanyaje?

Kama kweli unaomba ushauri, Mungu awasaidie msimuue huyo mtoto. Ujue hiyo ni kazi kamili ya Mungu kuumba mtu ndani ya tumbo la mwanamke.
Dhambi ya kuua kiumbe kisichoweza kujitetea ni mbaya sana!!! Achana na mawazo ya kuua/kutoa mimba.
Kumbuka hata wewe ulipitia tumboni mwa mama yako jiulize kama mimba hiyo ingetolewa!
Kuua gharama yake ni kubwa kuliko aibu ya muda mfupi na kulea mtoto.
Kubali matokeo wala usiumize akili yako kutaka kuharibu kazi ya Mungu, relax kubali matokeo, utaona inafaida zaidi.
 
Zaeni tu muijaze dunia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…