Ndugu wadau wa Jf kwa muda mrefu nimekuwa mfuatiliaji wa mada mbali mbal za Jf. mimi ni mwanamke nimehitimu degree ya environmental disaster management miaka miaka minne iliyopita, na kutokana na changamoto za ajira nikaamua nijiendeleze katika post graduate diploma in education na masomo ya kufundisha Ni Geography na Kiswahili na kama mnavyojua ajira za masomo tajwa zipo pending. hivyo basi nina tafuta kazi katika sekta binafsi katika taaluma nilizotaja hapo juu, kwan najua hpa kuna watu wa aina mbali mbali wanaoweza nisaidia kwa namna moja au nyingne. na nipo tayr kufanya kaz sehem yoyote ile hapa tanzania. natanguliza shukran zangu za dhati kwenu.