Hebu angalia vizuti hizo kilometre!Noah iko kwa hali nzuri kabisa imetwmbea km 1475000 bei M9 NEGOTIATABLE\
SIMU 0767931887 KITU IKO ARUSHA
not necessarily. Kuna wengine wanauza kwa sbb ya shida tuduh imechoka kwa hiyo bei
duh imechoka kwa hiyo bei
Noah za Arusha zinasanya, so may be hizo kilometers ni sahihiKm million na ushee? Balaa!
Hii kitu haijasanya hata kidogo jamani na imetumika TZ miezi nane tu kwa hiyo hapo
sio ishu sana na ndio maana naiuza hiyo bei.
Mkuu, registration ya BSW na miezi nane tena? Miezi nane ni C**