Nakumbuka zimeingia. Wanafunzi wa primary walikuwa wanavitumua saba il8kuwa kama fashion. Nlijaribu ile harufu yake ilinichefua hatari.Kuber ilikuwa kali, ugoro wa masai ukasome...😄
Kuna rafiki angu wa udogoni tukiwa standard 7 kwao kulikua na duka kwa kuto kujua akachukua AKAWEKA CHINI YA ULIMI DAKIKA KADHAA AKADONDOKA CHINI KAMA MZIGO ☺️☺️😊 PUUUU.Kuber ilikuwa kali, ugoro wa masai ukasome...😄
Nakumbuka Kaka Yangu alikuwa anakuja nazo home.Kuber ilikuwa kali, ugoro wa masai ukasome...😄
Ilikuwa na harufu nzuri sanaMiaka ya elfu mbili kuna manzi alitest kubwia izo mambo.Alivyoweka mdomoni akameza mate ilikua ni balaa,alikua anatapika huku anaharisha.
Kaini😅😅Kuber ilikuwa kali, ugoro wa masai ukasome...😄