MillardAyo vs SkyWalker

masare

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
1,719
1,782
Hawa ni watangazaji nguli hapa Tanzania.Tatizo lao wanafanana sauti zao na namna ya kutangaza.Ni ngumu sana kutofautisha "jingle" iliyotengenezwa na MillardAyo au Skywalker-Fredrick Bundala.

My TAKE;
Najua SkyWalker kwa sasa ni Freelance Radio Personnel basi MillardAyo angemwalika sikumoja kwenye kipindi chake cha Amplifaya ili angalau tuweze kuona utofauti kidogo wa sauti hususani wanapotangaza pamoja.
 
Skywalker yupo kitambo ila wengi hawamjui zaidi ya wale ambao wapo kwenye cycle ya entertainment. Ni muandishi/mtangazaji mzuri

Millard Ayo yupo vizuri anajitahidi sana
 
Back
Top Bottom