Millardayo na JamiiForums wanaongoza mapato ya adsense kwa Tanzania

May 9, 2016
24
7
Screenshot_2016-05-19-11-34-09.png
Screenshot_2016-05-19-11-18-58.png
Jionee mwenyewe
Screenshot_2016-05-19-08-44-52.png
Screenshot_2016-05-19-08-45-28.png

Michuzi yupo mbali sana halafu watu wameisusa blog yake sababu ya kujipendekeza na habari za serikali.
 
Usije ukaanza kusema jf Na milard ayo walianzisha hii mitandao wakiwa kwenu
 
Kwa hio hizo daily and monthly revenue ndio mapato yao sio? Kama ndio basi Millardayo ni aachane na kazi za watu ili ajiimarishe kwenye kazi zake.
 
Kwa hio hizo daily and monthly revenue ndio mapato yao sio? Kama ndio basi Millardayo ni aachane na kazi za watu ili ajiimarishe kwenye kazi zake.
Wanapata hela si mchezo mzee, pale bado anaendelea kujijenga zaidi, akikurupuka anaweza anguka bila kujua
 
Safi sana JF.

Kumbe mnapiga zaidi ya Millioni 400 kwa mwaka.

Keep it up mfike hata Billioni 1 tu, doho shodah....doho tabu....
 
Millard anastahili maana ni hardworking sana na anaishi maisha ya kawaida yanayomuwezesha kuwa na saving za kutosha....

Vijana kama hawa ndo wanapaswa kuwa marole models kwa vijana wa kitanzania..

Siwezi kushangaa kwa upande wa jf kwa kuwa ndio forum kubwa ukanda huu...
 
Back
Top Bottom