Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Mwambie tu ukweli kuwa tatizo hilo huja ukiwa umepungukiwa mbIngia YouTube.... Habari zake nyingi zimeshuka kwango
OkayMwambie tu ukweli kuwa tatizo hilo huja ukiwa umepungukiwa mb
Mwambie tu ukweli kuwa tatizo hilo huja ukiwa umepungukiwa mb
Angalia wewe,unaongelea MB wakati mi natambaa na GB halaf sijawahi kupungukiwa GB kwenye line zangu,na natumia line 3 tigi,voda,halotel zote ni Full of GB....Mwambie tu ukweli kuwa tatizo hilo huja ukiwa umepungukiwa mb
Vision=versionNi kweli maneno yako mkuu ila na Milardayo kwasasa hio App imekua na Bugs nyingi saana kiasi kwamba inakua slow saana ku load hadi ifunguke
Wangejaribu kui apdate vision yao hio wanayoitumia kwa sasa
Angalia wewe,unaongelea MB wakati mi natambaa na GB halaf sijawahi kupungukiwa GB kwenye line zangu,na natumia line 3 tigi,voda,halotel zote ni Full of GB....
Vision=version
Apdate=update