Aisee! Instagram community! Lakini kwanini tunamuona huyo dada muongo? Kwamba Millard Ayo hawezi kupiga mechi za mchangani; au?! Mechi hizi hizi ambazo zinapigwa na Masheikh, Maaskofu, Mawaziri na wengine kibao zionekane haiwezekani kwa Millard? Au hawezi kutoa advance akaingia mitini?!