HFOOO
JF-Expert Member
- Aug 6, 2018
- 683
- 652
Wakuu poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa, Naomba kwenda kwenye mada hapo juu kuna mtoto wa ndugu yangu alienda Jkt ni mhitimu wa form 6, sasa kaniambia amemua kwenda kuchukua hiyo course ya military science najuwa kuwa ni kazi za jeshini.Je!swali langu hii course akihitimu anaingia kwenye ngazi ya cheo gani cha kijeshi?
Naombeni kupata maelezo yenu wadau naimani mko hapa mlioko kwenye idara hii, sisi migambo wa jiji haya mambo ni shida isije kuwa nimelishwa matango pori na dogo.
Naombeni kupata maelezo yenu wadau naimani mko hapa mlioko kwenye idara hii, sisi migambo wa jiji haya mambo ni shida isije kuwa nimelishwa matango pori na dogo.