Niko nje aisee ndo nikasikia sauti ya milipukousikute jirani yako anapika pop corn, kama hauna ceiling board ni utata.
Ha ha ha ha h! dah King'asti majibu yako kiboko:A S shade:usikute jirani yako anapika pop corn, kama hauna ceiling board ni utata.
Kiongozi yupi tena Mkuu?Kuna kiongozi kaja walikuwa wanampigia mizinga 21.
usikute jirani yako anapika pop corn, kama hauna ceiling board ni utata.