Nikimlinganisha JK kwa diplomasia na huyu wenu naona JK kamzidi kwa mbaliii sana.huyu wenu angejaribu tu hata kidogo somo la diplomasia yaani angepata hata tuzo ya Mo hata ya dunia.sasa cha kufanya kwa sasa hivi bado hajachelewa akijirekebisha hakuna atakayemtoa kasoroNdugu zangu, nilishawahi kuandika humu namna mienendo ya ndugu yetu huyu Bwn. Lisu kuwa ni kuanza safari yake ya Urais 2020.
Narudia tena kuwakumbusha kuwa safari hiyo bado ipo na inaonekana wazi wazi kwa kauli zake na matendo yake kwa Rais wetu.
Kwa kuwa Lisu hana haiba wala mvuto wala ushawishi wa kuipata nafasi hiyo, ameamua kutumia staili ya kutoa kauli za kichochezi ambazo nimeipa jina la kauli za mlipuko.
Siasa za kauli mlipuko za Lisu zinalenga kuleta taharuki na kuchochea uma ili ijenge picha hasi kwa Rais na serikali anayoiongoza.
Kwakua aina hii ya siasa mlipuko ni ngeni kwetu, watu wengi wamekuwa wakishtushwa na kauli hizo na kusahau kufuatilia kauli hizo kama zina ukweli ama la?
Kwakua kauli anazotoa zinashtua muda wa kufuatilia kujua ukweli wa hizo kauli unakuwa mdogo na kauli zake zinasambaa na kubaki vichwani mwa watu kwa muda mrefu.
Kwakuwa wahenga wanasema Uongo huja kwa lifti na ukweli huja kwa kutumia ngazi, ni muda pekee ndio utakao mwacha Lisu katika Lindi la aibu ambalo tayari baadhi ya kauli zake zimeshaonekana kuwa zilikuwa ni za kichochezi na zimejaa uongo.
Hivi karibuni, Ndugu Lowasa aliamua kutangaza kuwa atagombea tena Urais ,2020.
Tangazo hilo bila shaka kabisa limemuacha ndugu huyu njia panda, na suluhu pekee ya kutetea haki yake ni kuja na kauli mlipuko ili kujibu mapigo kwa Lowasa. Lisu ameamua kabisa kuja na kauli mlipuko akijua kuwa kwa kufanya hivyo kwa kiasi flani atamtishia Lowasa ili kama akigombea tena amweke katika nafasi ambayo naye atapata chochote.
Tuendelee kushuhudia mfululizo wa kauli mlipuko toka kwa lisu ikiwa ni sehemu ya vita yake na lowasa kuelekea 2020.
Nenda shuleNdugu zangu, nilishawahi kuandika humu namna mienendo ya ndugu yetu huyu Bwn. Lisu kuwa ni kuanza safari yake ya Urais 2020.

Jifunze kujenga hoja...Tutaendelea kutazama mpambano wa Lisu na Lowasa mpaka mmoja akae chini.
Nimemsikia, hakuna hoja ya kujibu pale, nimeona tuhuma tu based from hisia zake, na hisia hazijawahi kuwa jambo la kutiliwa maanani kama inaonekana wazi kuwa hisia hizo zinatokana na chuki tu na sio jambo jingine lolote.CCM jibuni hoja za Lissu acheni blah-blah
Wanaosema waandame mkulu abaki sio wachochezi wala hawavunji KATIBA. Tana Raisi yyte aliyestaafu watu waliendamana ili abaki Madarakani. Acha ulofa.Ndugu zangu, nilishawahi kuandika humu namna mienendo ya ndugu yetu huyu Bwn. Lisu kuwa ni kuanza safari yake ya Urais 2020.
Narudia tena kuwakumbusha kuwa safari hiyo bado ipo na inaonekana wazi wazi kwa kauli zake na matendo yake kwa Rais wetu.
Kwa kuwa Lisu hana haiba wala mvuto wala ushawishi wa kuipata nafasi hiyo, ameamua kutumia staili ya kutoa kauli za kichochezi ambazo nimeipa jina la kauli za mlipuko.
Siasa za kauli mlipuko za Lisu zinalenga kuleta taharuki na kuchochea uma ili ijenge picha hasi kwa Rais na serikali anayoiongoza.
Kwakua aina hii ya siasa mlipuko ni ngeni kwetu, watu wengi wamekuwa wakishtushwa na kauli hizo na kusahau kufuatilia kauli hizo kama zina ukweli ama la?
Kwakua kauli anazotoa zinashtua muda wa kufuatilia kujua ukweli wa hizo kauli unakuwa mdogo na kauli zake zinasambaa na kubaki vichwani mwa watu kwa muda mrefu.
Kwakuwa wahenga wanasema Uongo huja kwa lifti na ukweli huja kwa kutumia ngazi, ni muda pekee ndio utakao mwacha Lisu katika Lindi la aibu ambalo tayari baadhi ya kauli zake zimeshaonekana kuwa zilikuwa ni za kichochezi na zimejaa uongo.
Hivi karibuni, Ndugu Lowasa aliamua kutangaza kuwa atagombea tena Urais ,2020.
Tangazo hilo bila shaka kabisa limemuacha ndugu huyu njia panda, na suluhu pekee ya kutetea haki yake ni kuja na kauli mlipuko ili kujibu mapigo kwa Lowasa. Lisu ameamua kabisa kuja na kauli mlipuko akijua kuwa kwa kufanya hivyo kwa kiasi flani atamtishia Lowasa ili kama akigombea tena amweke katika nafasi ambayo naye atapata chochote.
Tuendelee kushuhudia mfululizo wa kauli mlipuko toka kwa lisu ikiwa ni sehemu ya vita yake na lowasa kuelekea 2020.
Hoja yako hapo ni ipi mkuu
Alichozungumza ni tuhuma sio hoja, hakuna hoja ya kujadili pale, na kanuni ni kuwa anayetoa tuhuma huwa anatakiwa kuleta ushahidi, Lisu anasema, majaji wanajiuzulu kwa kulazimishwa; tunasubiri kupata ushahidi toka kwake kuwa hao majaji wamelazimishwa kujiuzulu na sio kutokana na sababu nyingine yoyote.Kwa taarifa yako usidhani mtatutoa kwenye hoja za Lissu kirahisi hivyo. Wangalau mwenzako Nyani Ngabu kajitahidi kwenye ule uzi wake kwa kukiri mengi yaliyosemwa na Lissu hata kama roho inamuuma. Wewe ndio umekuja na zile propaganda za kizee ile mbaya. Jibu hoja za Lissu maana kwa sasa ndio wenzako wote wanajitahidi bila mafanikio. Hilo la urais sio hoja kwa sasa kwani huko cdm kila mtu ana haki ya kugombea urais.