Milipuko ya Gongo la Mboto yatokea Brazzaville

Milipuko ya Gongo la Mboto yatokea Brazzaville

EMT

Platinum Member
Joined
Jan 13, 2010
Posts
14,477
Reaction score
15,356
Several explosions have rocked Congo's capital Brazzaville, in an accident at a munitions dump. Witnesses said the blasts were felt several miles away in the neighbouring city of Kinshasa, across the border in the Democratic Republic of Congo.

Plumes of smoke could be seen rising from Kinshasa, which lies over the river from Brazzaville. Officials and witnesses from the east of the city reported that the army tank regiment's ammunition depot was on fire and that many buildings around it had collapsed.

The BBC's Thomas Hubert, in Kinshasa, reports that residents of east Brazzaville fled from the area when the blasts began. One eyewitness, he reports, has warned that some casualties could be expected but no-one had yet visited the area as it was still too dangerous. Agence France Presse reported that at least four people had been killed in the blasts, and many were injured. "It's a munitions depot that caught fire in Mpila. That's next to the presidential palace," a woman living in Brazzaville told the news agency.

Source: BBC News - Munitions blast rocks Brazzaville

UPDATE 2
The death toll is reported to have reached 200 now. - BBC

UPDATE 1:
European Diplomat says at least 150 dead in Congo munition depot disaster - source AFP
 
Hayo mabomu inaonekana yalikuwa ni kisanga kikubwa!

610x.jpg


610x.jpg
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wadau;

Kuna Breaking News -CNN kuwa kuna milipuko mikubwa ya Silaha mjini Brazaville Congo kwa Kabila, na inaelekea zaidi ya watu 200 hadi sasa wanahofiwa kufa, idadi inaelekea kukua na hadi sasa idadi kamili yaelekea ikazidi kupatikana muda unavyoenda! Source: CNN.

Je hapa kwetu, Serikali hii 'sikivu' ilishachukua hatua yoyote kuondoa hatari ya milipuko kama hii katika kambi zote zilizo katikati ya miji, kama ilivyotokea Mbagala, na Gongolamboto? Tukumbuke kuwa kambi nyingine kama Airwing (Idara ya Anga), Navy Kigamboni, Makongo/Mlalakua, Kunduchi and kwingineko ni picha halisi ya jinsi wakazi wa jiji wanavyoishi ha hatari kila kukicha wakati serikali hii 'sikivu' haikumbuki yaliyotokea hadi wakaahidi haitatokea tena! Tukumbuke kauli za viongozi wakuu kuwa 'Raia ndio waliovamia na kujenga karibu na kambi!...Tutakubali haya yatokee tena? Tutafanyaje?

Naomba kuwasilisha...! Pamoja daima!
 
Yalishatokea hapa kwetu tunaomba yasitokee tena kama tulivyoambiwa na serikali. Kwa huko DR Congo tunawapa pole lakini hii imeonyesha kuwa milipuko inaweza kutokea popote duniani na si kama watu walivyokuwa wanahoji kwa nini iwe Tanzania tu kufuatia milipuko ya Mbagala na Gongo la mboto.
 
Wadau;

Kuna Breaking News -CNN kuwa kuna milipuko mikubwa ya Silaha mjini Brazaville Congo kwa Kabila, na inaelekea zaidi ya watu 200 hadi sasa wanahofiwa kufa, idadi inaelekea kukua na hadi sasa idadi kamili yaelekea ikazidi kupatikana muda unavyoenda!

Naomba kuwasilisha...! Pamoja daima!

Congo Brazaville kumbe ni kwa Kabila......?

Ila ni taarifa mbaya bila kujali imetokea wapi
 
Mtoa mada, sijui na haraka au kutokuja. Congo brazaville na congo kwa kabila ni nchi 2 tofauti. Asante kwa taharifa
 
Tuna kazi kubwa kurudisha Geografia ile ya miaka ya 70 na 80 mashuleni.

Mkuu labda CNN ndivyo walivyosema (siamini)! Umenikumbusha kitabu nilichosoma darasa la 5 shule ya msingi kikiitwa Wafanya Kazi wa Afrika! Tulikuwa tunaulizana na kutafuta miji kwenye Atlas na hivyo kuwa makini kujua mji gani uko nchi gani na bara gani. Hata viongozi tulikuwa tukiwajua na hivyo isingekuwa rahisi kujichanganya kwa yote hayo, ungeshtuka tu: Yaani ujichanganye mji mkuu, Rais na Nchi!
 
Jamani kizazi kipya hakina Jiografia kichwani! Yaani mimi nashindwa kuwaelewa hawa viumbe sasa hivi wanafundishwaje hili somo. Enzi zetu darasa la 6 unakuwa unajua miji mikuu karibia dunia nzima na robo tatu ya viongozi wakuu wa nchi, pengine hata mazao wanayolima. Sasa huyu jamaa si ajabu hajui kama kuna Congo 2! Kwa kweli elimu yetu sasa hivi bure kabisa. Si ajabu jamaa ni Graduate, shame on u guy!
 
The death toll is reported to have reached 200 now. - BBC
 
Maendeleo huenda sambamba na ongezeko la wa2. 2claumu wananchi kwa kuvamia kambi bali kuhamisha kambi ni jambo la muhimu.
 
Back
Top Bottom