Just Pray
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,142
- 4,780
Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Iringa Mjini kimezindua mradi wa maduka 22 yenye jumla ya thamani ya Milioni 178 ambayo yatakayokwenda kutoa huduma mbalimbali Kwa Jamii pamoja na
Kuongeza Mapato ya ndani ya Chama.
Akizindua mradi huo Machi 23, 2025 tawi la stendi Kuu, Kata ya Kitanzini, Wilayani humo. Mjumbe wa kamati Kuu CCM Taifa ambaye pia ni Katibu wa Idara ya Oganaizesheni ya CCM Issa Gavu ameutaka Uongozi wa CCM Wilayani humo kuulinda na kuuendeleza mradi huo ili uweze kuleta tija Kwa Jamii.
"Mradi huu ni mkubwa na ni mzuri jukumu letu ni kuulinda na kuuendeleza ili mradi huu usije ukaharibika na kupoteza malengo tuliyoyakusudia" amesema Gavu