milion 15 naweza kupata Rav 4 kwenye yard

milion 15 naweza kupata Rav 4 kwenye yard

Joined
Dec 19, 2011
Posts
32
Reaction score
4
mileg less laki moja,manual au auto ,milango 5.naomba wenye uelewa wa haya mambo ya magari wanisaidie .aksanten
 
nitafute 0784 506003 nikupe RAV4 5door,AC, CD-Stereo, petrol, Auto,blue, lady owner, fully serviced and no axcidents with a very good condition, you wont regret it
 
unataka model ipi?
ninayo ya 1997 kwa milioni kumi
ni pm kama uko serious
 
kwa nini watu wavivu wa kuagiza magari toka japan au uingereza direct?
 
Kuwa makini na kununua magari kutoka yard za bongo! Mengi yameisha badilishwa baadhi ya vipuri na kuwekewa vipuri vikuu kuu...
 
Usumbufu wa TRA +usumbufu Bandarini+Wizi wa Vipuri=Frustrations

usumbufu wa TRA na bandarini unaupataje wakati unakuwa na clearing agent ,wewe anakuletea gari ameshalitoa!wizi wa vipuri hayo unayonunua bongo mbona ndo kasheshe!mimi niliwahi kuuza gari kwa mtu kumbe ni dalali nikaambiwa kauza engine kivyake na gari akaliwekea engine nyingine na akauza!wizi upo kama utachelewa kulitoa ,lakini ukilitoa kwa wakati,sio kivile!
 
Back
Top Bottom