kukumweupe
JF-Expert Member
- Apr 18, 2020
- 439
- 599
Na mimi nimesikia mazito kinomaNasilica milio ya mabomu eneo la Kimara isije ikawa Yale ya gongo la mboto na mbagala
Mabomu kama Sita hivi ,kwa wakazi wa Dar mmesiakia
Sent using Jamii Forums mobile app
😂 Kweli mkuu ulikuwa kwenye uzingizini😜Itakuwa mizinga.. Imeniamsha uzingizini mpka nyumba Imetikisika!
Kwamba unamfanya chizi eenh alichokisikia sio chenyeweMvua na ngurumo katika maeneo machache, na vipindi vya jua... itakuwa radi bwashee.
Mvua na ngurumo katika maeneo machache, na vipindi vya jua... itakuwa radi bwashee.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji23] Kweli mkuu ulikuwa kwenye uzingizini[emoji12]
Ulikuwa uzingi zini na nani!!!! Pole wamekukatisha kuziniItakuwa mizinga.. Imeniamsha uzingizini mpka nyumba Imetikisika!