Milinga: CCM haitumii miujiza kutawala; ashangaa Mbowe Div.O kuongoza PhD kimiujiza!

mbowe kaza sirikali imechanganyikiwa hekima busara na maarifa ndiyo vya muhimu kuliko hata hivyo vyete hata viki wekwa vitamsaidia nini wananchi tuliona hali ngumu ya maisha pumbafuuuu ndiyo akili za wana ccm kichwa tupu
 
Unaletaje uzi wa huyu chizi Mlinga hapa wenzake wanajadili Uchumi yeye anamjadili Mbowe!

Britons wanasema, "Foolish mind discuss people but Intelligent mind discuss issues"
Nimesikiliza maneno ya huyu Kila**za Goodluck Milinga mbunge wa Ulanga kwa kumrithi mama yake mzazi Celina Kombani hakika huyu jamaa kichwani kumejaa mayai viza!
Nilikuwa natamani mtu mmoja akamzabue kibao kwa kuongea pumba na utoto Bungeni. Naona ni wakti mwafaka kwa Wabunge wote kurejea Sheria,Kanuni na Taratibu za Bunge kuweka kipengele cha KUZUIA MBUNGE KUZUNGUMZA MAMBO AMBAYO NI TOO PERSONAL KWA NIA YA KUMDHALILISHA MTU AU CHARACTER ASSASSINATION!
Mlinga aliacha hoja ya msingi na kuanza kuzungumzia elimu ya Mhe. Mbowe kana kwamba hiyo ndiyo hoja!!!Hii ni kuonyesha tu jinsi Mbunge huyu wa Urithi alivyo mtupu na kibuyu wazi! Sina hakika yeye ana ufaulu gani academically hiyo elimu inamsaidia nini katika maisha yake! Mtu hujulikana kuwa ana elimu kwa jinsi anavyojenga hoja zake na kuziwasilisha mbele ya umma!
Hebu tuwe transparent, tulinganishe hoja za kina Mbowe Div-0 Form 6, Bashe, Mlinga, Maji Marefu, Kibajaj Lusinde na baadhi ya Wabunge wa CCM nani aliye na Elimu hapa?
Lakini pia huyu chizi ambaye nina hakika yuko kwenye ile tafiti ya Kichaa 1 kati ya Watz 4 ajue kuwa kuna kuna Bill Gates wana elimu ya F6 waliofeli leo ni mabingwa wa Microsoft, John Major alikuwa PM wa Uingereza na alishia F6, Mhe. Amani Karume kaongoza Zanzibar kwa vipindi 2 na six yake! Je, hao waliongoza kwa miujiza gani???
Huyu Mlinga angelikuwa na elimu angefuata nyayo za Mhe. Bashe ambaye jana alitoa darasa tosha kwa Vihiyo wengi wa CCM ambao wako Bungeni na hawajitambui!
Naomba kama kuna mtu mwenye elimu ya huyu Mbunge wa kurithi marehemu atuwekee hapa kuanzia F4, F6 na Chuo na alipata ufaulu gani! Hatutaki vyeti vya kughushi tunataka matokeo rasmi na halisi toka NECTA na Chuo husika!
 
Chifu Mkwawa. Mangi Meli.Mangi Marealle. Kwa ujumla machifu waliongoza vizuri na walitenda haki na hawakuwa na kisomo.
 
Ni muujiza PHD holder hajui kingereza ndiyo maana tunaamini atafanya miujiza mipya kugawa 50M kila kijiji.
umejibu kwa hasira....swali ni muujiza gani Mbowe anautumia kutawala wasomi,wanasheria angali amepata divisheni 0 form six? kumbe ndio maana Lowassa anawapiga kijembe cha elimu,elimu,elimu....pole,jibu kwa upole najua ni chungu lakini ndio dawa.
 
Sio hawa hawa walikuwa wanamponda ole sendeka kuwa chama kina msemaji aliepata div 0 kumbe kuna chama kinaongozwa na mwenyekiti aliepata ziro yaani 0 sasa wepi ni bora..?
 
umejibu kwa hasira....swali ni muujiza gani Mbowe anautumia kutawala wasomi,wanasheria angali amepata divisheni 0 form six? kumbe ndio maana Lowassa anawapiga kijembe cha elimu,elimu,elimu....pole,jibu kwa upole najua ni chungu lakini ndio dawa.

Swali kwa waziri mkuu, waziri wa fedha na wana CCM wote " ni muujiza gani CCM mtakaotumia kugawa 50 million kila kijiji wakati sasa watanzania wanapitia kipindi kigumu cha kuporomoka kwa uchumi"

hili swali mpaka sasa halijapata majibu na limeulizwa bungeni na kumfanya mbunge wa rambirambi kupanic na kumshambulia mbowe,
nani amepanic hapa?
 
Wakuu huyu mh:Milinga sindio yule aliye pendekeza bungeni kuwa; msanii DIAMOND ajengewe sanamu la kumuenzi kama lile la askari wa posta kwa kumuezi kutokana na heshima kubwa alilo liletea taifa?
 
Wakuu huyu mh:Milinga sindio yule aliye pendekeza bungeni kuwa; msanii DIAMOND ajengewe sanamu la kumuenzi kama lile la askari wa posta kwa kumuezi kutokana na heshima kubwa alilo liletea taifa?

Naam, ndiye huyo huyo kihiyo wa jimbo la Ulanga aliye rithi kiti cha Ubunge cha marehemu mama yake kana kwamba ni Utawala wa Kisultani huku kichwani ni mtupu na mweupe
Huyu Mlinga kwa IQ(Intelligent Quotient) alonayo ni sawa na IQ ya kuku kuwamwagia punje za mtama huku wakikamatwa na kuchinjwa mmoja baada ya mwingine hadi wanamalizika wote. Huyu mbunge ni chizi na jinga!
 
Nasikitika sana nnchi yangu mtu kusimama na kuongea pumba wakati kuna mambo mengi ya kimaendeleo
 
Miaka ya akina Mwinyi,Kawawa,Sokoine Hata wenye shahada hawakufika 20, usilinganishe kabisa vipindi hivyo.Hata hivyo Mwinyi hakufeli shule.
Takwimu hizi unazitoa wapi?!!? Unajua Udsm kilianzishwa lini? Unajua Mzee Mwinyi alianza urais 1985? Unajua idadi yaa wanafunzi waliokuwa wanapelekwa kusoma nje ya nchi!?
Eti wenye shahada hawakufika 20!!! You're kidding!! Kikwete amemaliza Udsm 1975, unajua kozi yake walimaliza wangapi!
Wewe waonekana umezaliwa 2000. Ubishi haufai, unajiaibisha. Watu watakuona hamnazo.
 
Kumekua na mabishano kuhusu Elimu ya Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe,watu wakiaminisha bila ushahidi kwamba alipata daraja 0 katika matokeo yake ya Kidato cha 6 na kwamba hastahili kuongoza Chama kikubwa kama CHADEMA.

Hata kama angekua amepata hivyo,Je Elimu ya uongozi si zaidi ya Elimu aliyopata mtu darasani?Tukubali tukatae uongozi ni kipaji mtu huzaliwa nayo na kwa Mbowe hakika ni viongozi wachache wanampita kwa Kipaji hicho na hata adui zake wanajua hilo na hata hilo la Elimu ni silaha isiyo na makali tu wanatumia eti kudhani watamrudisha nyuma huku wakimuacha na Mafanikio tele aliyoipa Chama mpaka leo hii.

Ukitaka kujua Elimu ni zaidi ya darasani angalia watu hawa wawili na mambo haya matatu.

BUSARA ni zana mojawapo ya kumjua kiongozi bora,Ujengaji wa HOJA na ya mwisho ambayo ndiyo muhimu kwa sababu muda wote wa kusoma huwa tunatumia ni KINGEREZA(ENGLISH). Basi hii ingetofautisha mno watu hawa wawili.

Basi mnaotumia Elimu kama silaha kwanza wekeni hadharani kama ilivyofanyika kwa Sendeka na pia kutokana na tofauti kubwa ya watu hao wawili huko juu basi hata angekua amepata hivyo basi hoa hii haina mashiko.

Mwenye kupinga na apinge sasa.
 
Katika kipindi cha Bungeni Mbunge wa Ulanga Mh.Mlinga amemjibu Mbowe kuwa CCM haitumii miujiza kutawala bali inatumia mpango mkakati kutekeleza ilani yake.

Vile vile ameeleza kuwa ni Mbowe ndiye mwenye kutumia miujiza kuongoza chama kwani amepata division sifuri form six lakini anatawala wafuasi wenye elimu za juu wakiwamo madaktari na maprofesa.

Huu moto sasa umekolea,mbowe yakupasa utueleze ni miujiza gani unatumia kutawala wasomi,nilishawahi kuhoji kwanini chadema inaongozwa kwa mfumo wa ramli? sasa hoja imetua bungeni. watetezi karibuni mumtetee.

Hii ni shida kuacha kujadili hoja unajadili mtoa hoja,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom