Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 11,618 Reaction score 20,555 Jul 19, 2026 #1 Wanajiografia na wasomi wengine. Hii milima ya mawe sehemu kama Mwanza, Dodoma na Iringa hutokana na nini?
Wanajiografia na wasomi wengine. Hii milima ya mawe sehemu kama Mwanza, Dodoma na Iringa hutokana na nini?
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 52,130 Reaction score 126,129 Jul 19, 2026 #2 Yanatokana na mawe
Kubwa la Maadui JF-Expert Member Joined Aug 13, 2019 Posts 8,020 Reaction score 15,874 Jul 19, 2026 #3 Huo sio mlima labda kama uko shule unaendaga kutembea na kurud
Hismastersvoice JF-Expert Member Joined Jan 26, 2013 Posts 23,961 Reaction score 29,338 Jul 19, 2026 #4 Lycaon pictus said: Wanajiografia na wasomi wengine. Hii milima ya mawe sehemu kama Mwanza, Dodoma na Iringa hutokana na nini?View attachment 3632858View attachment 3632857View attachment 3632855View attachment 3632856 Click to expand... Ilikuwa siku ya Ijumaa mafundi waliokuwa wakiiumba dunia walichoka kufinyanga udongo wakichanganya na mawe, ili Jumatatu waendelee na kazi wakaamua kuyavurumisha mawe ubaki udongo.
Lycaon pictus said: Wanajiografia na wasomi wengine. Hii milima ya mawe sehemu kama Mwanza, Dodoma na Iringa hutokana na nini?View attachment 3632858View attachment 3632857View attachment 3632855View attachment 3632856 Click to expand... Ilikuwa siku ya Ijumaa mafundi waliokuwa wakiiumba dunia walichoka kufinyanga udongo wakichanganya na mawe, ili Jumatatu waendelee na kazi wakaamua kuyavurumisha mawe ubaki udongo.
Psalm 103 JF-Expert Member Joined Jul 5, 2026 Posts 1,657 Reaction score 2,701 Jul 19, 2026 #5 Mbaga Jr said: Yanatokana na mawe Click to expand... yale madogo madogo yana undergo combination.
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,810 Reaction score 44,604 Jul 19, 2026 #6 Milipuko ya volcano mkuu
young tunafish Member Joined Jul 1, 2026 Posts 87 Reaction score 140 Jul 19, 2026 #7 Kubwa la Maadui said: Huo sio mlima labda kama uko shule unaendaga kutembea na kurud Click to expand... hahaha mkubwa nakubali sana majibu yako
Kubwa la Maadui said: Huo sio mlima labda kama uko shule unaendaga kutembea na kurud Click to expand... hahaha mkubwa nakubali sana majibu yako
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 52,130 Reaction score 126,129 Jul 19, 2026 #8 Psalm 103 said: yale madogo madogo yana undergo combination. Click to expand... Tawire 🤝
Beira Boy JF-Expert Member Joined Aug 7, 2016 Posts 24,810 Reaction score 44,604 Jul 19, 2026 #9 Zaburi ya 90 Wewe BWANA umekuwa makao yetu kizazi baada ya kizazi baada ya kizazi Kabla haijazaliwa milima wala hujaiumba dunia Milima ni zao la dunia
Zaburi ya 90 Wewe BWANA umekuwa makao yetu kizazi baada ya kizazi baada ya kizazi Kabla haijazaliwa milima wala hujaiumba dunia Milima ni zao la dunia
Mbaga Jr JF-Expert Member Joined May 28, 2018 Posts 52,130 Reaction score 126,129 Jul 19, 2026 #10 Mungu alimwambia musa, kwenye jiwe hili ntajenga nyumba yangu. Ndo hapo sasa 😎 Dah, hekima itaniua