pettymarcel
JF-Expert Member
- Jun 17, 2012
- 2,161
- 883
Asante sana...namuona Kelvin Isaya kwa darubini za Afande Sele kwa mbaliii...Cheap is always expensive... That is the natureHabari wakuu one2onefocus limited ni kampuni inayojihusisha na maswala ya kujengea wateja nyumba kwa bei rafiki kabisa zaidi ya yote unaweza kufanya malipo kidogo kidogo bila riba yeyote
Mfano nyumba ya Vyumba viwili vikubwa na self, sebule, jiko, store,jiko, dining room na choo cha public ni shiling milion 32 sasa wewe unaweza kutulipa asilimia 50% ya bei husika yaani mil 16 halafu sisi tutajenga nyumba yako yote baada ya hapo tunakuita kuja kuhakiki ukiridhika utamalizia hizo mil 16 zilizobakia taratibu bila riba yoyote ukimaliza kulipia tutakukabidhi nyumba yako na itakuwa chini ya uangalizi wetu kwa miaka mitatu chochote kitakachoharibika kitafanyiwa marekebisho bure na kampuni kwa Maelezo zaidi na sample za kazi zetu tembelea www.one2one.com pia waweza kunipigia kwa namba 0763772636 au 0789047874 au waweza kunichek WhatsApp kwa 0763772636 karibuni sana milki Nyumba yako sasa
View attachment 472851View attachment 472852View attachment 472853View attachment 472854
Kwakweli hata mimi nimeshangaa... maana thamani ya kiwanja tu ni karibia robo ya gharama ya nyumba...Good idea..
Mkuu wewe ni mfanyabiashara mkubwa sana.. Umeshindwa kiajiri architect afanye sample designs za Ku display? Maana unatuwekea mapicha picha ya mtandaoni ambayo yanatupa Mashaka kama kweli uko serious na kazi yako...
Pia, nyumba ya 32m regardless of location, soil conditions, plan size and the like ni uongo..
Me thinks.
Usipende ku kremisha bosi material kama mabati sisi kama kampuni tuna kiwanda kidogo cha kuproduce pia matofali tuna mashine tuna shamba la miti ya mbao so usihukumu moja kwa moja come to the ofisiAsante sana...namuona Kelvin Isaya kwa darubini za Afande Sele kwa mbaliii...Cheap is always expensive... That is the nature
Kiwanja not included kiwanja ni chako sisi ni ujenz karibu sanaKwakweli hata mimi nimeshangaa... maana thamani ya kiwanja tu ni karibia robo ya gharama ya nyumba...
Hata kama una kiwanja chako, 32M kujenga nyumba mpaka iishe, nna mashaka na uimara wa hiyo nyumba.
Okay ofisi ziko wapi?? Je mteja anatakiwa kuwa na kiwanja au pia mnamtafutia?? Inachukua siku ngapi kukamilisha hiyo nyumba?? Je makabidhiano ya pesa inakuaje??Usipende ku kremisha bosi material kama mabati sisi kama kampuni tuna kiwanda kidogo cha kuproduce pia matofali tuna mashine tuna shamba la miti ya mbao so usihukumu moja kwa moja come to the ofisi
Karibu ofisi zetu zipo Makumbusho complex kwa Dar na Mwanza tupo Buzuruga plaza pia waweza kutembelea website yetu www.eyesonproperties.co.tzOkay ofisi ziko wapi?? Je mteja anatakiwa kuwa na kiwanja au pia mnamtafutia?? Inachukua siku ngapi kukamilisha hiyo nyumba?? Je makabidhiano ya pesa inakuaje??
Kuhusu maji umeme ni inclusive ukija ofisini utachagua ramani na aina sisi tunakujengea na tunajenga popote Tanzania kiwanja ni chakwako mkuuVipi kuhusu mioundo mbinu mingine kama vile
maji na umeme,ni inclusive kwenye hizo milioni 32?
Na je,nyumba hizo zimejengwa wapi,namaanisha location
au mteja anakuwa na kiwanja chake afu nyie mnaitwa
na kumjengea?
Nawapongeza kwa ubunifu wenu,nisadie maswali hayo
asante.
Ndio mkuu nyumba ya Vyumba viwil