ulimbo lunopo
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 243
- 37
eti the finest SHOW ILIHITAJI WATU 400 TU!! Acha uwongo kaka! SHOW YA MWANAFATUMA ILIKOSA WATU!! Ayo maneno yako kwenye blog yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mtumwa wa fikra!! Tunajua ni RUGAY aliyekuambia uandke hayo!!! Jana wananchi wamewaonyesha kwamba NYEUSI HAIWEZI KUWA NYEUPE DAIMA! ! THINK INDEPENDENTLY BRO!!!!!
eti the finest SHOW ILIHITAJI WATU 400 TU!! Acha uwongo kaka! SHOW YA MWANAFATUMA ILIKOSA WATU!!
Ayo maneno yako kwenye blog yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mtumwa wa fikra!!
Tunajua ni RUGAY aliyekuambia uandke hayo!!! Jana wananchi wamewaonyesha kwamba NYEUSI HAIWEZI KUWA NYEUPE DAIMA! ! THINK INDEPENDENTLY BRO!!!!!
Show ilifanyikia kwenye sehemu ambayo ipo enclosed na ni wazi ina maximum capacity occupancy. Sasa kama unabisha show ya MwanaFA haikuhitaji watu 400, weka ushahidi wako hapa kuwa haikuhitaji watu 400.
Na wewe haya maneno yako humu yanadhihirisha ulivyo mtumwa wa fikra.
Lazima Ruge anawanyima sana raha na usingizi. Si ajabu hata mkibahatika kuupata usingizi mnamuota ndotoni!
Kubeba maboksi huwa kunaondoa akili saa nyingine. Jinga hilo.Unalipwa au umejitolea?
Nilijua ULEDI MIHAYO ni mtu poa sana kumbe nawe ------ kama MWANA FISTULAA (MWANA FATUMA) na mume wenu RUGE au katerelo anayowapiga ndo inawachanganya, vaa nguo kjana ona aibu kutembea uchi Fu...***u
dar! mshikaji alikacha Itv, kahamia kwa hao jamaa,one day atawajua vizuri
Hapa mkuu umenena...! Hivyi katika dunia ya leo kuna mtu anaweza kukodisha ukumbi mkubwa vile na tena Bongo alafu achukue watu 400 tu!? Yule naye kaanza kuharibiwa na Clouds Fm... Ama kweli jamaa wa pale wanajua kuwageuza wasafi kuwa wachafu... Hata wewe Millard....!!!!???eti the finest SHOW ILIHITAJI WATU 400 TU!! Acha uwongo kaka! SHOW YA MWANAFATUMA ILIKOSA WATU!! Ayo maneno yako kwenye blog yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mtumwa wa fikra!! Tunajua ni RUGAY aliyekuambia uandke hayo!!! Jana wananchi wamewaonyesha kwamba NYEUSI HAIWEZI KUWA NYEUPE DAIMA! ! THINK INDEPENDENTLY BRO!!!!!