Milard Ayo unapotosha umma! Huo ni uwongo uliokubuhu!

ulimbo lunopo

JF-Expert Member
Dec 11, 2012
243
37
eti the finest SHOW ILIHITAJI WATU 400 TU!! Acha uwongo kaka! SHOW YA MWANAFATUMA ILIKOSA WATU!! Ayo maneno yako kwenye blog yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mtumwa wa fikra!! Tunajua ni RUGAY aliyekuambia uandke hayo!!! Jana wananchi wamewaonyesha kwamba NYEUSI HAIWEZI KUWA NYEUPE DAIMA! ! THINK INDEPENDENTLY BRO!!!!!
 
Ha mbona viti kibao vilikuwa vitupu. Hao watu 400 walikaa wapi? Huyu kijana alikuwa ana busara lakini maskini wameshaanza kum haribu lol!

eti the finest SHOW ILIHITAJI WATU 400 TU!! Acha uwongo kaka! SHOW YA MWANAFATUMA ILIKOSA WATU!! Ayo maneno yako kwenye blog yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mtumwa wa fikra!! Tunajua ni RUGAY aliyekuambia uandke hayo!!! Jana wananchi wamewaonyesha kwamba NYEUSI HAIWEZI KUWA NYEUPE DAIMA! ! THINK INDEPENDENTLY BRO!!!!!
 
eti the finest SHOW ILIHITAJI WATU 400 TU!! Acha uwongo kaka! SHOW YA MWANAFATUMA ILIKOSA WATU!!

Show ilifanyikia kwenye sehemu ambayo ipo enclosed na ni wazi ina maximum capacity occupancy. Sasa kama unabisha show ya MwanaFA haikuhitaji watu 400, weka ushahidi wako hapa kuwa haikuhitaji watu 400.

Ayo maneno yako kwenye blog yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mtumwa wa fikra!!

Na wewe haya maneno yako humu yanadhihirisha ulivyo mtumwa wa fikra.

Tunajua ni RUGAY aliyekuambia uandke hayo!!! Jana wananchi wamewaonyesha kwamba NYEUSI HAIWEZI KUWA NYEUPE DAIMA! ! THINK INDEPENDENTLY BRO!!!!!

Lazima Ruge anawanyima sana raha na usingizi. Si ajabu hata mkibahatika kuupata usingizi mnamuota ndotoni!
 
Nilijua ULEDI MIHAYO ni mtu poa sana kumbe nawe ------ kama MWANA FISTULAA (MWANA FATUMA) na mume wenu RUGE au katerelo anayowapiga ndo inawachanganya, vaa nguo kjana ona aibu kutembea uchi Fu...***u
 
Huyo Milad Ayo na Clauds media ndio wamemuharibia mwanaFA show yake kabisa, ni ujinga mtupu wamefanya kwa mfano:

1/Kushindana kwa makusudi na Lady JD kwa kupanga siku moja ya show ili zigongane na Lady JD.

2/Kutumia watu kuja humu mitandao kupotosha eti tiketi zote zimeshanunuliwa wakati ukweli ni kwamba tiketi bado zilikuwa zinapatikana mitaani na hadi mlangoni wa ukumbi zilikuwepo na hazikwisha kabisa.
 
Audotorioum ile ni kweli ina capacity ya watu mia 400.Lakin ss ata mia 200 hawakufika.Uyu bwana amepiga mbizi kwenye tindikali
 
Show ilifanyikia kwenye sehemu ambayo ipo enclosed na ni wazi ina maximum capacity occupancy. Sasa kama unabisha show ya MwanaFA haikuhitaji watu 400, weka ushahidi wako hapa kuwa haikuhitaji watu 400.

Na wewe haya maneno yako humu yanadhihirisha ulivyo mtumwa wa fikra.

Lazima Ruge anawanyima sana raha na usingizi. Si ajabu hata mkibahatika kuupata usingizi mnamuota ndotoni!

Unalipwa au umejitolea?
 
Sijui ruge anawapa nini hawa vijana! Wamekuwa kama nini sijui,in short they are not independent!yan hata blog zao binafsi wanaambiwa waandike nini?

I used to like millardayo ila now nshaona uzushi tu!dogo anapotea mapema sana we muache!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nilijua ULEDI MIHAYO ni mtu poa sana kumbe nawe ------ kama MWANA FISTULAA (MWANA FATUMA) na mume wenu RUGE au katerelo anayowapiga ndo inawachanganya, vaa nguo kjana ona aibu kutembea uchi Fu...***u

Jiti limekunasa limeshagonga utumbo mpana linatapika muda huo!likitolewa Pull up your Pant ukalale!
 
dar! mshikaji alikacha Itv, kahamia kwa hao jamaa,one day atawajua vizuri

Wewe mwenyewe Mengi unamjua kwenye Maonesho ya kuwalisha Ubwabwa Viwete pale Diamond other wise usingeandika upuuzi, mtafute Misanya Bingi au mtu anaefaham kilichomkuta akupe ABC ya yule Babu!
 
kwanza robo ya wahudhuriaji walikua ni wafanyakazi wa kampuni ya WAFU FMI!!! Pili NDUGU WA DAMU KAMA WAJOMBA NA MABINAMU NA MAJIRANI,, TATU, KUNA ROBO YA WATU WALIINGIA KWA COMLIMENTARY !!Wachache sana ndo walitoka kwa moyo!!!
 
eti the finest SHOW ILIHITAJI WATU 400 TU!! Acha uwongo kaka! SHOW YA MWANAFATUMA ILIKOSA WATU!! Ayo maneno yako kwenye blog yako yanadhihirisha jinsi ulivyo mtumwa wa fikra!! Tunajua ni RUGAY aliyekuambia uandke hayo!!! Jana wananchi wamewaonyesha kwamba NYEUSI HAIWEZI KUWA NYEUPE DAIMA! ! THINK INDEPENDENTLY BRO!!!!!
Hapa mkuu umenena...! Hivyi katika dunia ya leo kuna mtu anaweza kukodisha ukumbi mkubwa vile na tena Bongo alafu achukue watu 400 tu!? Yule naye kaanza kuharibiwa na Clouds Fm... Ama kweli jamaa wa pale wanajua kuwageuza wasafi kuwa wachafu... Hata wewe Millard....!!!!???
 
Back
Top Bottom