P papa yna Member Joined Jun 21, 2014 Posts 55 Reaction score 16 Oct 10, 2014 #1 kwa upande wa morogoro naomba munijuze bei ya mlango wa mbao nataka kumalizia kajumba kangu wajameni