Ungetuwekea bei, tukiwasiliana tunajuwa hatupotezeani muda wa kupatana. Usiwe kama wafanya biashara wa kizamani, unaweka picha hapa, size za milango, bei zake. Mambo yanakuwa mazuuuri, hata anaekupigia unajuwa huyu hakupotezei muda.
Siku hizi kusema kitu ni bei nafuu imekua fasheni.
Yaani hata hujui wenzio wanauzaje, we unakuja na bei zako na kuziita ni nafuu.
Anyway issue iko hivi, tunajua mitaani wanauzaje hiyo milango,
so we weka bei yako tulinganishe na mitaani ili kama rahisi tuongee biashara

FF umekuwa kila wakati ukitoa darasa jinsi ya mtu anavyotakiwa kufanya anapo tangaza kuuza vitu vyake lakini ni kama unampigia mbuzi gitaa,hizo ni biashara local sasa unategemea watu kama hawa wataweza kufanya biashara za kimataifa?kazi ipo,tutazidi kuwa wapiga porojo tu,kila kitu hatuwezi!!

Jamani siku hizi, kamera si za kutafuta, asilimia 90 ya simu zina kamera.
Raha ya Tanzania ni kuwa, "demand" iko so high na hakuna "michuano" (competition) za kibiashara na huduma, ngojeni tu, wachina wanaongezeka, waturuki wanaongezeka, msije mkasema tumeachwa nyuma. Msingi mzuri ndio hujenga nyumba yenye kuhimili dhoruba.