Kwa wale wanaojenga, watakao jenga, usihangaike kupata milango imara kwa ajili ya nyumba yako. Ukifika kwetu utapata milango imara kwa uthabiti wa nyumba yako.
sample za milango ndo hizi hapa
View attachment 51431
View attachment 51432
View attachment 51427
View attachment 51428
View attachment 51429
View attachment 51430
milango hiyo imetengenezwa KIGOMA, Kwa kutumia MUKURUNGU na MUBANGA miti ambayo ni imara na haishambuliwi na wadudu wa aina yeyote
hii milango inauzwa bei gani .....pia quality ya finishing bado ..... inahitaji re-finishing works kama msasa na "secret joints work"
hi milango inauzwa kila mmoja 80,000/- lakini 75,000/- nakuuzia. uliofanyiwa finishing ni huo wa juu, ambao nakuuzia 100,000 mzee. kabibu sana LAT, napatikana NYAKATO SOKONI, a.k.a NATIONAL. SIMU ZANGU ni 0766087636, 0686630812 NA 0713550387.
KARIBU SANA MWANA KWETU
sawa mkuu..nikadhani labda na huku dar kuna kijimtaa kinaitwa nyakato...kumbe ni ile ya mwanza?...naijua sana...
Mi naiona ya kawaida tu, may be ki-Nyakato Nyakato inaeweza kua bomba
simu la mchina hilo, ukiiona live, halafu ukaenda kuifanyia finishing utakufa nayo mkuu. mie naijua sana tu
kwa anayejua miti ya mbanga na mkulungu, hahitaji kushawishiwa kuikubali milango hiyo. nashukuru wewe unaijua mkuu. karibu uchague ukaifunge kwenye nyumba yako bro