Mbunge Luswe
Member
- Jan 23, 2018
- 56
- 23
Salamu wakuu.
Serikali na Chama hakiangalii shule ya secondary milala?
Mbona imepoteza hadhi kabisa.
Serikali na Chama hakiangalii shule ya secondary milala?
Mbona imepoteza hadhi kabisa.




Mtoa maada waongelea milala ya wapi? au waongelea milala secondary iliyoko mkoa wa Katavi? ambayo miongoni mwa wakufunzi wanaofundisha chuo cha mbeya universty of science&technology(MUST) alisoma pale miaka ya nyuma kidogo?Salamu wakuu.
Serikali na Chama hakiangalii shule ya secondary milala?
Mbona imepoteza hadhi kabisa.
Ni shida sana, mpaka sasa wana form one 1 Wanafunzi wamepungua mno.ile shule tangu nipate ufahamu haijawahi kuwa na hadhi, ni mabingwa wa kuvujisha mtihani wa fm 2. fm4 ziro 60+ ni kawaida, daraja la 4 100+
hakuna shule pale, si leo wala jana
Mzee baba hiyo shule ni kongwe na ukizingatia mafundi wengi wakongwe wanaopatikana wilaya ya mpanda na walimu wengi wa miaka ya nyuma mkoa wa katavi wamepitia shule ile but mpaka umri huu cjaelewa kama niya serikali,ya CCM wilaya ya Mpanda,mtu binafsi au taasisi binafsi.Ipo Katavi Mkuu
ile shule ni ya wazazi CCMMzee baba hiyo shule ni kongwe na ukizingatia mafundi wengi wakongwe wanaopatikana wilaya ya mpanda na walimu wengi wa miaka ya nyuma mkoa wa katavi wamepitia shule ile but mpaka umri huu cjaelewa kama niya serikali,ya CCM wilaya ya Mpanda,mtu binafsi au taasisi binafsi.
hakuna shule pale, labda kituo cha kurudia mitihaniNi shida sana, mpaka sasa wana form one 1 Wanafunzi wamepungua mno.
Mtoa maada waongelea milala ya wapi? au waongelea milala secondary iliyoko mkoa wa Katavi? ambayo miongoni mwa wakufunzi wanaofundisha chuo cha mbeya universty of science&technology(MUST) alisoma pale miaka ya nyuma kidogo?
Wazawa na wakazi na wasomi kutoka mkoa wa katavi hususani wilaya ya mpanda mkuje huku mchangie maada kwa wingi pengne tunaweza kua tunautangaza mkoa wetu kiutalii mana naona kama vile umesahaulika kidogo pamoja na kutoa waziri mkuu wa awamu ya nne
ile shule ni ya wazazi CCM