Mila zilizopitwa na wakati ni kikwazo cha maendeleo

mzeewakungoa

JF-Expert Member
Nov 26, 2016
4,969
13,919
Mila zimekuwepo siku nyingi sana.Tangu kupatikana kwa mwanadamu ulimwenguni mila zilikuwepo. Hizi mila waliozianzisha waliozianzisha kwa nia nzuri tu ili kudhibiti mienendo ya binadamu na kuleta ustawi katika jamii. Lakini Nadhani kwa sababu fulani hizi mila zimetoholewa na badala ya kuleta faida zinaleta hasara na kuwa sababu ya kurudisha nyuma maendeleo. Kwa mfano katika uislamu mila sahihi mtu anapofiwa inatakiwa majirani wamliwaze kwa kupika chakula majumbani kwao na kupeleka kwenye nyumba ya mfiwa. Lakini mila hii imetoholewa na sasa hivi mtu akifiwa majirani wanahamia kwenye nyumba ya mfiwa. Kula kunywa hapo hapo. Matokeo yake mtu anapofiwa anakuwa na huzuni mbili..... Kwanza kupoteza ndugu yake na pili kapoteza mali yake....

Mila za dizaini hii ziko nyingi ambazo badala ya kusukuma maendeleo mbele zinarudisha nyuma
Wewe unaonaje???
 
Wewe unaonaje?
 
Back
Top Bottom