Mila za jadi na mizmu ya ukoo

Mila za jadi na mizmu ya ukoo

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
1,968
Reaction score
2,204
Nilipokuwa mdogo kiroho miaka 10 iliyopita,nilikuwa nikishiriki mila za jadi zilizohusisha kutambikia mizimu na kuomba kwa mizimu na kupekela sadaka kwa mizimu.

Sadaka kwa mizimu zilikuwa ni mnyama wa kuchinja kuku,mbuzi,kondoo n.k chochote cha kuchinja damu imwagike

Pombe ya kienyeji mbege. Ilihusisha pia kuomba kusemesha mizimu ya mababu makaburini migombani kuiomba na kuiombea.

Pamoja na ibada hizi za jadi bado pia nilikuwa nasali kanisani(mchanganyo) na niliaminishwa NILIDANGANYWA mila za jadi siyo dhambi kwamba hata wazungu waliotuletea dini nao wana mila zao na mila za jadi na wanziheshimu na kuzifuata ,kwamba mila za jadi ni kitu kizuri..na kwamba eti hata dini hazikatazi hata baadhi characters wa biblia au wayahudi hawakuacha mila zao za jadi pamoja na dini kwamba eti walikuwa wana mix na mila zao za jadi.

Nguvu ya mizimu niliyoishuhudia kwa ndugu zangu wajomba zangu

1. shuhuda wa kwanza...kuna ndugu mmoja aliacha kuja nyumbani kufanya hizi mila za jadi aliharibikiwa na biashara zake akafilisika from hero to zero..

Akaambiwa tatizo limetokana na yeye kuacha kuja kufanya mila mizimu iliokuwa inamsaidia hivyo mizimu ya ukoo imekasirika ndio maana anafeli katika mambo shughuli zake na bila kuweka sawa mambo ya mila za jadi hatatoboa,ikambidi arudi mgombani kuweka mambo sawa baada ya hapo akaanza kurudi kwenye ramani mambo yake yakaanza mnyookea shughuli zake biashara zake zikarudi kwenye peak..zikafunguka
nawaelewa ndugu zangu wanaorudi mwisho wa mwaka kwenda kufanya mila wanalazimika kufanya hivyo naelewa.

UKWELI KUHUSU IBADA ZA MILA ZA JADI/MIZIMU.

Ni roho za kuzimu za malaika waasi/majini ya ukoo, pamoja na shetani hata mafanikio utakayoyapata ya kimwili hata kama utachanganya na kusali kanisani na mila za jadi..

kuwa na michanganyo mila na dini ..kuwa vuguvugu,Mungu atakutapika huwezi kuchanganya meza moja shetani na Mungu.

lakini kiroho wewe utahesabika umeuza roho yako na kuweka mikataba ya kudumu na shetani,majini/mizimu,kuzimu kupitia ibada za mila za jadi/kuomba mizimu/kuombea wafu.ibada za wafu kutambika.,dadaka)kafara za kuchinja pombe na nyingine zote ibada ya mayambiko ibada na maagano na kuzimu.

Madhara yapo ni kuwa chini ya vifungo vya kiroho maagano na kuzimu inayofuatilia hadi vizazi vyako hadi kizazi cha nne miaka 400 mbeleni ijayo.
Madhara ya hivyo vifungo ni kuwa chini kumilikiwa na mamlaka ya kuzimu/mizimu/ibada ya kipagani au umeuza roho yako na familia yako kwa shetani kwa kujua au kutokujua,shetani hana cha bure kuna sadaka atakuwa anachukua kutoka kwako ikiwemo hizo za kuchinja na wanyama ila nyingine katika wewe na kizazi chako atajichukulia sadaka kwa ukoo wako familia yako..ya damu n.k

unakuwa chini ya utawala wa shetani.SHETANI hakupi kitu buree.Kazi ya shetani ni uharibifu,ni kudanganya watu ,kuchinja kuiba kuua,kuharibu maisha ya wanadamu,kuwaingiza katika vifungo vingine vya dhambi ili kuzidi kuwatenga Mungu.

NI VIZURI KUTAMBUA.
UKishiriki kunywa mbege au kula nyama kisusio ya tambiko iliyochinjwa na ikanenewa maneno fulani ya kimila za jadi ..wote walioshiriki waliokula chakula na kunywa pombe mbege au togwa vinywaji nao pia wameshiriki hiyo ibada
Hata waliochanga pesa kununua hiyo mnyama mbuzi au kondoo au ngombe wa kuchinja hata kama ulichangia 1000 kama mwanaukoo tayari umeunganishwa katika hiyo ibada ya mila za jadi.

Pia unaweza kuunganishwa kupitia wazazi wako hata kama wewe hujashiriki ila wazazi wako walipokuwa wanafanya mila za jadi walikuunganisha na uzao wao ambao ni wewe bila kujua pengine hata kabla hujazaliwa.
 
Attachments

  • images - 2024-12-20T234143.515.jpeg
    images - 2024-12-20T234143.515.jpeg
    38.9 KB · Views: 40
  • images - 2024-12-20T234627.754.jpeg
    images - 2024-12-20T234627.754.jpeg
    81.7 KB · Views: 41
  • images - 2024-12-20T234453.709.jpeg
    images - 2024-12-20T234453.709.jpeg
    55.7 KB · Views: 34
  • images - 2024-12-20T234438.818.jpeg
    images - 2024-12-20T234438.818.jpeg
    35.8 KB · Views: 32
  • images - 2024-12-25T012445.452.jpeg
    images - 2024-12-25T012445.452.jpeg
    11.6 KB · Views: 29
  • images - 2024-12-25T012436.092.jpeg
    images - 2024-12-25T012436.092.jpeg
    76 KB · Views: 37
  • images - 2024-12-25T012413.021.jpeg
    images - 2024-12-25T012413.021.jpeg
    42.3 KB · Views: 35
  • images - 2024-12-25T012310.296.jpeg
    images - 2024-12-25T012310.296.jpeg
    53 KB · Views: 28
  • images - 2024-12-25T012120.137.jpeg
    images - 2024-12-25T012120.137.jpeg
    30.6 KB · Views: 35
  • images - 2024-12-25T012001.777.jpeg
    images - 2024-12-25T012001.777.jpeg
    35.8 KB · Views: 35
  • images - 2024-12-25T011905.004.jpeg
    images - 2024-12-25T011905.004.jpeg
    38.4 KB · Views: 30
Ndivyo ulivyokuwa mfumo wa dunia yaani mauti kutawala soma,

Isaya 26:13-14
13 Ee Bwana, Mungu wetu, mabwana wengine zaidi ya wewe wametumiliki; lakini kwa msaada wako peke yako tutalitaja jina lako.

14 Wao wamekufa, hawataishi; wamekwisha kufariki, hawatafufuka; kwa sababu hiyo umewajilia, na kuwaangamiza, na kuupoteza ukumbusho wao.

Dunia ilijengwa katika mfumo wa ili uheshimike ni either ukubali kuchinja (kama inbrahim) au ukubali kuchinjwa (kama Yesu)

Ndo maana mauti ilikuwa inatawala (majira saba) na hata waovu walikuwa wanatumia mstari unaosema heri mmoja afe ili wengine wapone.lakini hilo halikuwa kusudi.

Sadaka yeyote unayotowa ilikuwa inahesabika ni kafara ila kafara iliyokuwa inahesabika ni ya damu ndo maana ya haya matambiko.
 
Kama kuna mmasai anaye fanya mambo ya mila au anaye jua tambiko naomba anifundishe
 
Nilipokuwa mdogo kiroho miaka 10 iliyopita,nilikuwa nikishiriki mila za jadi zilizohusisha kutambikia mizimu na kuomba kwa mizimu na kupekela sadaka kwa mizimu.

Sadaka kwa mizimu zilikuwa ni mnyama wa kuchinja kuku,mbuzi,kondoo n.k chochote cha kuchinja damu imwagike

Pombe ya kienyeji mbege. Ilihusisha pia kuomba kusemesha mizimu ya mababu makaburini migombani kuiomba na kuiombea.

Pamoja na ibada hizi za jadi bado pia nilikuwa nasali kanisani(mchanganyo) na niliaminishwa NILIDANGANYWA mila za jadi siyo dhambi kwamba hata wazungu waliotuletea dini nao wana mila zao na mila za jadi na wanziheshimu na kuzifuata ,kwamba mila za jadi ni kitu kizuri..na kwamba eti hata dini hazikatazi hata baadhi characters wa biblia au wayahudi hawakuacha mila zao za jadi pamoja na dini kwamba eti walikuwa wana mix na mila zao za jadi.

Nguvu ya mizimu niliyoishuhudia kwa ndugu zangu wajomba zangu

1. shuhuda wa kwanza...kuna ndugu mmoja aliacha kuja nyumbani kufanya hizi mila za jadi aliharibikiwa na biashara zake akafilisika from hero to zero..

Akaambiwa tatizo limetokana na yeye kuacha kuja kufanya mila mizimu iliokuwa inamsaidia hivyo mizimu ya ukoo imekasirika ndio maana anafeli katika mambo shughuli zake na bila kuweka sawa mambo ya mila za jadi hatatoboa,ikambidi arudi mgombani kuweka mambo sawa baada ya hapo akaanza kurudi kwenye ramani mambo yake yakaanza mnyookea shughuli zake biashara zake zikarudi kwenye peak..zikafunguka
nawaelewa ndugu zangu wanaorudi mwisho wa mwaka kwenda kufanya mila wanalazimika kufanya hivyo naelewa.

UKWELI KUHUSU IBADA ZA MILA ZA JADI/MIZIMU.

Ni roho za kuzimu za malaika waasi/majini ya ukoo, pamoja na shetani hata mafanikio utakayoyapata ya kimwili hata kama utachanganya na kusali kanisani na mila za jadi..

kuwa na michanganyo mila na dini ..kuwa vuguvugu,Mungu atakutapika huwezi kuchanganya meza moja shetani na Mungu.

lakini kiroho wewe utahesabika umeuza roho yako na kuweka mikataba ya kudumu na shetani,majini/mizimu,kuzimu kupitia ibada za mila za jadi/kuomba mizimu/kuombea wafu.ibada za wafu kutambika.,dadaka)kafara za kuchinja pombe na nyingine zote ibada ya mayambiko ibada na maagano na kuzimu.

Madhara yapo ni kuwa chini ya vifungo vya kiroho maagano na kuzimu inayofuatilia hadi vizazi vyako hadi kizazi cha nne miaka 400 mbeleni ijayo.
Madhara ya hivyo vifungo ni kuwa chini kumilikiwa na mamlaka ya kuzimu/mizimu/ibada ya kipagani au umeuza roho yako na familia yako kwa shetani kwa kujua au kutokujua,shetani hana cha bure kuna sadaka atakuwa anachukua kutoka kwako ikiwemo hizo za kuchinja na wanyama ila nyingine katika wewe na kizazi chako atajichukulia sadaka kwa ukoo wako familia yako..ya damu n.k

unakuwa chini ya utawala wa shetani.SHETANI hakupi kitu buree.Kazi ya shetani ni uharibifu,ni kudanganya watu ,kuchinja kuiba kuua,kuharibu maisha ya wanadamu,kuwaingiza katika vifungo vingine vya dhambi ili kuzidi kuwatenga Mungu.

NI VIZURI KUTAMBUA.
UKishiriki kunywa mbege au kula nyama kisusio ya tambiko iliyochinjwa na ikanenewa maneno fulani ya kimila za jadi ..wote walioshiriki waliokula chakula na kunywa pombe mbege au togwa vinywaji nao pia wameshiriki hiyo ibada
Hata waliochanga pesa kununua hiyo mnyama mbuzi au kondoo au ngombe wa kuchinja hata kama ulichangia 1000 kama mwanaukoo tayari umeunganishwa katika hiyo ibada ya mila za jadi.

Pia unaweza kuunganishwa kupitia wazazi wako hata kama wewe hujashiriki ila wazazi wako walipokuwa wanafanya mila za jadi walikuunganisha na uzao wao ambao ni wewe bila kujua pengine hata kabla hujazaliwa.
Kwaiyo upande wako wewe unafanya au haufanyi? Kama haufanyi nini madhara yake na faida zake na kama unafanya nini madhara yake na faida zake?
 
Siwezi kuacha kufanya tambiko ata siku moja lazima kila wakati niongee na wazee wangu wananifariji sana
 
Mizimu ni mashetani ya ukoo,majini ya ukoo,ambayo yana abudiwa ma wanaukoo Yanapenda kuvaa sura ya kiongozi wa ukoo aliyekufa na hujitambulisha kwa jina la marehemu,mfano mimi ni babu/bibi yako shangazi yako,
Mtu akishakufa huwa harudi tena duniani anayerudi duniani na kujitambulisha kama babu yako huyo ni jini na sio babu yako ,anavaa sura ya babu yako,sauti yake,nguo zake na tabia zake ...ila siyo babu yako huyo ila ni jini huyo.

FAIDA ZA MIZIMU...Jini asili yake ni ushetani na kuzimu,hana urafiki wa kweli na binadamu hata kama atakupa mafanikio ya mwilini ya muda mfupi ila kazi yake ni kujicha ,kuua na kuiba ja kukufunga katika vifungo vya dhambi na kuua
Mfano....vifungo vya ulevi,na uzinzi,roho ya mauti vifo,kuharibika mimba ,vifo,anakutenga na Mungu mana hata kama unasali na huku unatambika mizimu ibada yako inakuwa haiswihi mana kutambika mizimu ni ushirikina ni ibada ya wafu,ibada ya mizimu,ni kuchanganya michanganyo...na wengi ni kuwa vuguvugu ni chukizo linalokutenga na Mungu ni dhambi ni ibada ya sanamu.

Mwishi wa siku ni mauti kazi kuu ya majini,mashetani ni kuua ,kuchinja,kuiba,kutesa,kudanganya,na kukutenganisha na Mungu wako,
Hasaravsa kutambika ndio hasara hizo hizo za kujibatajisha na madhabahu za kuzimu kama ushirikina,waganga wa kienyeji,freemansory,manabii wa uongo wa mafutavya upako,n.k
 
Mizimu ni mashetani ya ukoo,majini ya ukoo,ambayo yana abudiwa ma wanaukoo Yanapenda kuvaa sura ya kiongozi wa ukoo aliyekufa na hujitambulisha kwa jina la marehemu,mfano mimi ni babu/bibi yako shangazi yako,
Mtu akishakufa huwa harudi tena duniani anayerudi duniani na kujitambulisha kama babu yako huyo ni jini na sio babu yako ,anavaa sura ya babu yako,sauti yake,nguo zake na tabia zake ...ila siyo babu yako huyo ila ni jini huyo.

FAIDA ZA MIZIMU...Jini asili yake ni ushetani na kuzimu,hana urafiki wa kweli na binadamu hata kama atakupa mafanikio ya mwilini ya muda mfupi ila kazi yake ni kujicha ,kuua na kuiba ja kukufunga katika vifungo vya dhambi na kuua
Mfano....vifungo vya ulevi,na uzinzi,roho ya mauti vifo,kuharibika mimba ,vifo,anakutenga na Mungu mana hata kama unasali na huku unatambika mizimu ibada yako inakuwa haiswihi mana kutambika mizimu ni ushirikina ni ibada ya wafu,ibada ya mizimu,ni kuchanganya michanganyo...na wengi ni kuwa vuguvugu ni chukizo linalokutenga na Mungu ni dhambi ni ibada ya sanamu.

Mwisho wa siku ni mauti kazi kuu ya majini,mashetani ni kuua ,kuchinja,kuiba,kutesa,kudanganya,na kukutenganisha na Mungu wako,
Hasaravsa kutambika ndio hasara hizo hizo za kujibatajisha na madhabahu za kuzimu kama ushirikina,waganga wa kienyeji,freemansory,manabii wa uongo wa mafuta
kazi yake ni kukutesa,kuua,kuiba,kuchinja.,kukufunga,uharibifu,kukudanganya umuasi Mungu utende dhambi,kukukosanisha na Mungu wako,uttende dhambi,mauti,umuabudu shetani,ibada za sanamu za miungu mizimu..
 
Back
Top Bottom