wewe unataka ktapeliwa. tembea na fundi unayemuani kokote ukielezwa kuna gari yeye ndo awe kiongoz wako, uspokuwa makini utajuta unanunua gari kwa ajili ya kwenda kuidump om kwako
Km sio fundi utabambikwa hakikisha una km 2m nyingine za matengenezo na rangi nakuombea upate maana huku juzi ilikuwepo ya 3.6m sijui km akiitengeneza ataiuza nitakuPM