Mil 3 Naweza pata gari nzuri kidogo?

Mil 3 Naweza pata gari nzuri kidogo?

Malingumu

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
616
Reaction score
433
Wajameniii natafuta gari ya bajeti hiyo angalau nitumie miezi michache.... mwenye connection,plz help
 
Unaweza ila la marekebisho kidogo au kama ungepata mtu wa huko zanzibar unapata gari nzuri tuu na nzima kabisa
 
Aisee hiyo pesa unaweza kupata gari lakini utakuwa kila siku Kwa fundi labda ubahatike upate gari zima,
Au kama utanunua kwa mtu unayemfahamu kidogo sio mbaya
 
Gx 100 unapata yenye hali nzuri...ila lazima uitupie kama Milioni hivi kuiweka sawa zaidi
 
Huna haja ya kuwa na car parking kila siku itakuwa inalala kwa fundi magari ,kwa hiyo Hela mkuu ,
Sio kweli... A naweza pata nzima, mi niliwahi uza mazda demio kwa 3m ukiwa nzima tu, shida hazinaga adabu
 
Back
Top Bottom