mil 20

mil 20

basidio mycota

New Member
Joined
Oct 31, 2012
Posts
1
Reaction score
1
MME😱fis ye2 imeungua,wafanyakaz wote wamekfa
MKE:imekuaje ukapona?
MME:nilkuwa jiran na ofis nakunya
MKE:vp kuhus familia za wafiwa
MME:watalpwa mil 20 kwa kila1
MKE:unaona sasa kunya kunya kwako kulvyo2kosesha mihela,kwani umeambiwa kuzimu hawanyi
 
Ha ha ha, jamani wandugu muwe na huruma na mbavu zetu. Kah!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom