jaba jumah
Senior Member
- Sep 24, 2015
- 150
- 50
Kutokana na kile kinacho semekana ni kupaniki mikutano ya UKAWA yaanza kupoteza dira mahudhurio yaanza kuwa hafifi sana kitu kinacho ashiria kuwa wananchi walio wengi wamechoshwa na baadhi ya viongozi wao kuwa wana hutubia dakika tano au tatu ishu ambayo kwao wameona kama dharau kubwa sana kwa sababu wanadai wanaacha shughuli zao mwishowe inakuwa batili,,huku baadhi ya wananchi na wanachama wakipongeza ccm na umahiri wa mgombea wao ndugu magufuli ambaye anazungumza zaid ya dakika 45 kwa umahiri na ustawi wa hali ya juu.