Ndio maana umekacha bunge kwenda kuwachungulia CHADEMA JIMBONI. MNA KAZI KWELI KWELI NYIE WATU.
Asante sana kwa taarifa unafaa kuwa Katibu mwenezi wa Chadema-Iramba, maana wengine tulikuwa hatujui kama kuna mikutano ya Chadema inaendelea.Mikutano ya CHADEMA inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu, Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu. Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.
Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa kul'inga ikulukulu.
Weka pichaMi siyo mbunge ni mwananchi wa kawaida
Mlisema hivyo hivyo tukashtukia Chadema wanachukua kata IrambaMikutano ya CHADEMA
inayoendelea hapa wilayani kwetu Iramba imeendelea kudoda baada ya
kukosa watu kabisa. Mikutano hiyo ilifanyika katika kata ya Ndulungu,
Kaselya, Kidaru, Ntwike na Mtoa. Katika mkutano wa Kidaru katika kijiji
cha Tyegelo waliamua kwenda kwenye club ya pombe napo watu
hawakuwasikiliza. Mingela ambako anatoka Dr Kitila Mkumbo walipata watu
wasiozidi 45 tu. Hali ilikuwa mbaya sana katika kijiji cha Nsusu.
Kiongozi mkuu alikuwa David Jumbe na wenzake wakiwemo Dr Mkumbo ambaye
alikuwepo pia. CDM inabidi mpange mikakati mipya ya kuhakikisha Iramba
mnakubalika lakini kwa hii mlionayo hamna kitu.
Poleni sana CDM wanyiramba mmeamini siyo Wachaga. Songela Zigizigi kwa
kul'inga ikulukulu.
Mi siyo mbunge ni mwananchi wa kawaida
Yeye ni Field Marshal anaweza kufanya mambo ya ajabu kiasi binadamu wa kawaida asiamini.kwani Mwigulu Nchemba siyo mwananchi wa kawaida? Kwa kuwa anaua?
only a matter of tyme. hata mbuyu ulianza kama mchcha.Chezea mwigulu wewe????????????? Wapi yule binti?????
Ndio maana umekacha bunge kwenda kuwachungulia CHADEMA JIMBONI. MNA KAZI KWELI KWELI NYIE WATU.
Yeye ni Field Marshal anaweza kufanya mambo ya ajabu kiasi binadamu wa kawaida akashangaa.