Funa the Great
Senior Member
- Aug 1, 2022
- 159
- 273
- Thread starter
-
- #21
Sawa litafanyiwa kazi iloπ€, japo hata kwa hii ukiwa mkoani unakaribishwa ni safari ya siku mbili.Mikoani napo mpafikirie siku 1
Asubuhi ni Supu, mchana ni buffet na jioni ni nyama choma.Chakula ni nini na nini? Happ nipo very interested.
And kwa couples (Double) je kuna punguzo?
Ok ok.. hii haitonipita.Asubuhi ni Supu, mchana ni buffet na jioni ni nyama choma.
Kwa couples unapata punguzo la bei
Whatsapp, +255622174613
Karibu sanaπ€Ok ok.. hii haitonipita.
Kulala ni wapi naomba kuona unadhifu wa rooms zenuView attachment 2818763
MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS
(2 DAYS | 1 NIGHT)
*TAREHE 16-17th December 2023
GHARAMA, 155,000/=
SAFARI ITAANZIA DAR
ITAHUSISHA
-Malazi
-Usafiri kwenda na kurudi
-Chakula (Breakfast, Lunch, Dinner)
-Kiingilio
-Muongoza watalii
-Tozo za Serikali
SHUGHULI
- Kupanda mlima Uluguru
- Kuogelea
- Kuona wanyama
- Kupiga picha
- Shughuli nyinginezo
For Booking
+255622174613 /+255753651935
wildlifeafricasafaris01@gmail.com
Karibu kwenye group la safari, +255622174613
ππππππ tarehe zimetubana.. au hujaona hizo tar?? 16 kama mwenyekiti si nitakuwa busy kukamilisha miamala? SitoEnjoy trip mamaβ¦ ama tutazima ile cm ya mwenyekiti π€£π€£π€£
π€£π€£ nimeandika kuzima cm tar 16 nikiwa nacheka sanaaaβ¦ maana nawaza nitakavyotafutwa na POLISI hiyo siku..ππππ
unataka ukalogewe Kwa Msisi-Handeni..!??
πππππ€£π€£ nimeandika kuzima cm tar 16 nikiwa nacheka sanaaaβ¦ maana nawaza nitakavyotafutwa na POLISI hiyo siku..
Em tumuulize mtoa mada wakitoka Mikumi wanaenda wapi? Havukishi watu maji? Atupeleke Znz ππ
π€£ππ€£ sasa muda huo mm si niko na mtoa mada tunaelekea Mikumi?? Hamna jirani atakaye kuwa na taarifa nilipo, maana nitakuwa nmesepa Ijumaa na BM la jioni ππππππππ
Na kumbe tar. 16 itakuwa J'mos watu watakuwa huru manyumbani, yaani hiyo ndiyo rahisi, ni kupiga simu kwa majirani wote waliopo Njiro..!!
ππππ€£ππ€£ sasa muda huo mm si niko na mtoa mada tunaelekea Mikumi?? Hamna jirani atakaye kuwa na taarifa nilipo, maana nitakuwa nmesepa Ijumaa na BM la jioni ππππ
Karibu sanaOk ok.. hii haitonipita.
Tutafanya camping kwa kutumia tents, eneo lina huduma zote muhimu.Kulala ni wapi naomba kuona unadhifu wa rooms zenu
πππDahπππ
Hivi unahisi utafika Mikumi salama.??? Unashangaa kuna vitu vinaanza kukuchoma choma mwili..
Karibu sanaπ€So nice,tutakuja
Mbona cheap sana utatulaza wapiView attachment 2818763
MIKUMI NATIONAL PARK & CHOMA WATERFALLS
(2 DAYS | 1 NIGHT)
*TAREHE 16-17th December 2023
GHARAMA, 155,000/=
SAFARI ITAANZIA DAR
ITAHUSISHA
-Malazi
-Usafiri kwenda na kurudi
-Chakula (Breakfast, Lunch, Dinner)
-Kiingilio
-Muongoza watalii
-Tozo za Serikali
SHUGHULI
- Kupanda mlima Uluguru
- Kuogelea
- Kuona wanyama
- Kupiga picha
- Shughuli nyinginezo
For Booking
+255622174613 /+255753651935
wildlifeafricasafaris01@gmail.com
Karibu kwenye group la safari, +255622174613
Sisi wenye Wapenzi wetu je si hakuna Masharti ee?Karibu sana
Tutafanya camping kwa kutumia tents, eneo lina huduma zote muhimu. View attachment 2825543View attachment 2825544
ππππππ hahahaπππ
Hivi unahisi utafika Mikumi salama.??? Unashangaa kuna vitu vinaanza kukuchoma choma mwili..