Kila nikijiunga data wanaamua ni kiasi gani cha data wakifanye kiwe cha Whatsapp.
Kwangu naona haiko sawa, ilitakiwa waniulize mimi ndiyo niamue ni kiasi gani nikipeleke huko. Mara nyingi nimeona kifurushi kinaexpire bado nikingali na MB nyingi.

Pole mkuu, Zamani nikajua shida ni line nikaamua kununua router yao nikakuta upuuzi ni uleule nikaamua sasa line itabaki kupiga simu na kutuma message tu, Router nikarudisha kwenye box nikahamia Voda

Router unalipia unlimited mwezi mzima 100k, unatumia fresh ukifikisha siku kuanzia ya 23+ wanakuchagulia wao muda wa kutumia. Muda mwingi mtandao hausomi hahaa qmmk Yas matako yao