Naomba msaada wana jf hv mtu akiajiriwa serikalini halafu akikopa mkopo kwenye taasisi ya fedha na mwajiri akawa mdhani. je mtu yele akifukuzwa kazi au akiacha deni la mkopo linakuwaje? naomba msaada wenu wana jf
Udhamini ni wa mwajiriwa ni kwamba tu anakujua na unafanya kazi sehemu husika na mshahara unaosema ni sahihi ila mwisho wa siku sababu ni wewe ndio uliyekopa basi inabidi ulipe.., usipolipa kampuni iliyokukopa itakufungulia madai na kama una mali ya kuweza kuuzwa ili ulipe deni itabidi ulipe na kama huwezi unaweza kuingia mkataba uwe unalipa kidogo kidogo mpaka pale utakapomaliza deni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.