Mikopo ya NSSF kupitia saccos

Mikopo ya NSSF kupitia saccos

NEXTLEVEL

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2012
Posts
857
Reaction score
396
Wadau napenda kujua NSSF wanatoa mikopo kwa wanachama wake kupitia SACCOS zipi maana nimeulizia nyingi wanasema hawajaunga na nao.

Asanteni.
 
Tembelea ofisi zao utapata maelezo zaidi

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Saco unatafuta wewe unawashawishi mnajiunga idadi ambayo mnaweza kuanzia hamsini milioni ambacho ndio kima cha chini wanachotoa nsse them saco wakitimiza masharti wanapewa hizo hela wanawakopesheni nyie.
 
Back
Top Bottom