Mkuu vp hawa jamaa unauzoefu nao kidogo, unipe mawili matatuKaonane na EFTA
Vigezo ma masharti vikoje.Hawa jamaa wanakopesha sana mitambo ya kilimo na ni mashine za kuanzia million 20 mpaka 200 !
Hapana kwa kweli,ila uwa naona wanajitangaza nenda ofisin kwao unawenza ukapata hints japo zakuanzia.Mkuu vp hawa jamaa unauzoefu nao kidogo, unipe mawili matatu
Habari zenu wana jopo.
Naandaa project ya kuzalisha bidhaa ndogo ndogo ni pate kipato na kutoa ajira kwa watanzania wenzangu, nime leta uzi huu kwenu kuomba yeyote anayeweza kunisaidia kupata kampuni/ makampuni yanayouza na kukopesha machine za uzalishaji za bei ndogo Kati ya million 5 hadi 10. mfano mashine za kutengeneza chaki(sio SIDO), mashine za kutengeneza toothpick, mashine za kuzalishia vifungashio vya karatasi (sio plastic) nk. na pia zisiwe mashine za kilimo.
Natanguliza shukurani zangu.
Kaka hawa jamaa mi nawafahamu mikopo yao inaanzia mil 20 na unatakiwa uweke down-payment ya asilimia 30% ambayo ni sawa na mil 6 ndo wanakupa vifaa sasa kama unaweza kupata mill sita si bora ukanunue tu mwenyewe.Mkuu vp hawa jamaa unauzoefu nao kidogo, unipe mawili matatu
Kabisa kka, hawa watu wanaandika matangazo sijui no collateral but ni stupid thingsKaka hawa jamaa mi nawafahamu mikopo yao inaanzia mil 20 na unatakiwa uweke down-payment ya asilimia 30% ambayo ni sawa na mil 6 ndo wanakupa vifaa sasa kama unaweza kupata mill sita si bora ukanunue tu mwenyewe.