If you mean business achana na jazba......mimi nimekuliza, huo utaratibu wenu unabadilika badilika sana kuhusu;
1. Gharama za valuation ya assets - mara costs za valuation anazibeba mwombaji mara ni bure
2. Gharama za riba...mara min 15% to 20%, tena leo umekuja na 10% to 25%
3. Repayment period ....mara ni 1 Month, tena leo waja na 1 to 8 months!
Sasa unakuwa hueleweki, inaonekana mna mihela tu (bora isiwe from EPAs etc) na hamaja jipanga vizuri kabisa!
Achana nao hao, wezi watupu. Niliwapigia simu, waliyonambia ni tofauti kabisa na wanayosema humu, wanadhani watz bado tupo mbumbumbu kama enzi za mwalimu.
Achana nao hao, wezi watupu. Niliwapigia simu, waliyonambia ni tofauti kabisa na wanayosema humu, wanadhani watz bado tupo mbumbumbu kama enzi za mwalimu.
Wizi mtupu hamna kitu cha maana na kwa nini mtu utoe masharti??Kwa nini utoe email tu pamoja na namba ya simu alafu namba yako unasema kwamba wakutumie messeg kwa nini hujasema unaweza kunipigia kwenye namba hii??Toa details kamili na za kueleweka sasa hivi kila mtu anataka kufahamu kitu live sio kiuficho uficho kama manzeshe hatupo manzese hapa na pia kwa nini useme kwamba inabidi dhamana uweke gari??Kama mimi sina gari itakuwaje???Kwa hiyo siwezi kupata!!
Kwa kweli hapa biashara imekukata! Hivi ni nani ataweka rehani semi trailer lake kwa ajili kukopa vijisent ?MIKOPO HARAKA INATOLEWA KWA WALE WOTE WENYE KUHITAJI HELA ZA HARAKA KWA AJILI YA BIASHARA ZAO NA MAHITAJI MENGINE.HAKUNA URASIMU. MASHARTI YA KUPATA MKOPO NI KUWEKA DHAMANA YA GARI.MAWASILIANO,NITUMIE MESEJI NO YANGU NI 0782440468AU EMAIL. somigroup@yahoo.com
haya ni masharti yangu,unaweza kuyafuata au ukaacha.
hujalazimishwa,unaweza kuomba mkopo huko ulipo watakusaidia.
Labda uweke dhamana McLaren F1nataka mkopo wa 900 milion ..... niweke dhamana gari gani ..... acha upuuzi wewe .... mbona husemi dhamana ni nyumba au shamba ...?... nakushauri tafuta biashara clean zipo nyingi sana ... ni pm nitakupa business idea for free and you wont regret
riba na muda wa mkopo ni flexible tunajadiliana na muhitaji mkopo.
riba inarange kati ya 10% na 25% kwa mwezi.
marejesho ya mkopo kati ya mwezi 1 na miezi 8.
nyie mnataka kuibia watu magari yao 2, mana kama m2 akija na gari ya thamani ya m 3 na ataka m 6 mtampa? Nyie c mta taka mumpe milion alafu masharit arudishe ndgani ya wiki akichelewa mnamzika gari yake 2shafanya uo ujinga so nenda vijini ukaibe mashamba.
MIKOPO HARAKA INATOLEWA KWA WALE WOTE WENYE KUHITAJI HELA ZA HARAKA KWA AJILI YA BIASHARA ZAO NA MAHITAJI MENGINE.
HAKUNA URASIMU. MASHARTI YA KUPATA MKOPO NI KUWEKA DHAMANA YA GARI.
MAWASILIANO,NITUMIE MESEJI NO YANGU NI 0782440468
AU EMAIL. somigroup@yahoo.com
Kasopa!!
Umeona bora uteme cheche kavu kavu kabisa,ushalambwa na DECI nini? Jamani tutatapeliwa hadi lini?
Msituletee utapeli hapa. Ni kwa vipi mikopo ikatolewa kwa movable assets kama magari? hili linahitaji kupata undani zaidi kabla ya kulivaa kichwa kichwa.
nahisi una matatizo ya akirimawasiliano ya simu ni rahisi sana hata kwa meseji inatosha kukuelewesha na maswali yako kujibiwa hata kukuelekeza ukitaka kuja ofisini.
riba asilimia 30 ya mkopo.
mkopo utakaopata unakuwa nusu ya dhamani ya gari yako
Mfano gari yako ina dhamani ya milioni 50 unakopeshwa milioni 25.
muda wa mkopo mwezi 1.
Baada ya mwezi 1 unarudisha milioni 32500000.
mikataba yote inasimamiwa na wanasheria.hakuna udanganyifu.
garama za kulipia valuation ya gari yako kujua dhamani yake unalipia wewe mwombaji mkopo.
aliyekuwa serious awasiliane na mimi namba 0713902202 nitamuelekeza atakuja ofisini na jina la ofisi atalijua .